Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.
Ulifanya tafiti yako lini? Sample size Gani ulitumia.

Bila shaka watakuwa walikuchukulia mkeo
 
Huo uchawi walinunua Pwani, bara hakuna uchawi kiasili.
Ulishawahi kufika hayo maeneo tajwa?

Isije ukawa umezaliwa Songambele Kaliua, ukakulia huko, Umeolea huko na Utafia huko.

Tembea kijana
 
Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.
Mimi Mmatumbi na nimesoma Hadi Postgraduate wewe umesoma Hadi darasa la ngapi?
Na Kama hujui Sasa hivi Watu wa Pwani ndiyo wameshika hatamu za Uongozi!
 
-Hujui history, tajiri na mfadhili wa harakati za Kipigania Uhuru alikuwa ni Dosaa Azizi.
- Awali nilikuuliza swali Kwa nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI na Rupia hakuitwa BENKI?
Nimekujibu we mswahili vipi ? Vijitu vya pwani akili ndogo sana
 
  • mwenye akili ndogo ashaonekana usipate tabu.
  • Au Awali Umesahau nilishakuuliza sababu ya Tajiri DOSSA Azizi kuitwa benki? eti umeshasahau?
  • Kama ni akili ndogo unayo ww ambaye unasahau sahau maswali unayoulizwa.
 
DAR imeanza kujengwa siku nyingi kabla hata Nyerere hajawahi dhani atafika Dar. Acheni kujidanganya. Mshindwe kujenga huko vijijini uje ujenge sehemu ambayo tayari ilishajengwa?
Nenda Mbezi, Oysterbay, Mikocheni,Msasani kaangalie wanaoishi huko. Ukikuta wazaramo 10 njoo nikupatie pesa. Wazaramo washakimbia jiji wamewaachia Wabara ndo waendeleze. Wao wameenda kisiju,samvula chole,mbwinde n.k mbali na jiji.

Wamebaki Dar Wanyakyusa, Wachaga,Wasukuma,Wahaya,Wakinga n.k ndiyo wana pesa na wamejenga majengo ya maana. Wazaramo na nyumba zao mbavu za Mbwa huwaoni tena mjini.... Na watoto waliobaki ndo utawakuta vibaka,malaya n.k
 
Mimi Mmatumbi na nimesoma Hadi Postgraduate wewe umesoma Hadi darasa la ngapi?
Na Kama hujui Sasa hivi Watu wa Pwani ndiyo wameshika hatamu za Uongozi!
Mimi nimesoma mpaka standard 2 tu. Not much. But i believe we can exchange some ideas intellectually. Na nikupongeze sana kwa kufikia that level. I am sure you are 1 in 30. And i know you know it. The point here it isnt that you arent intelligent. Alas....i shouldnt insult you. The point is.... Education isnt the priority in your culture or life.
 
Nenda Mbezi, Oysterbay, Mikocheni,Msasani kaangalie wanaoishi huko. Ukikuta wazaramo 10 njoo nikupatie pesa. Wazaramo washakimbia jiji wamewaachia Wabara ndo waendeleze. Wao wameenda kisiju,samvula chole,mbwinde n.k mbali na jiji.

Wamebaki Dar Wanyakyusa, Wachaga,Wasukuma,Wahaya,Wakinga n.k ndiyo wana pesa na wamejenga majengo ya maana. Wazaramo na nyumba zao mbavu za Mbwa huwaoni tena mjini.... Na watoto waliobaki ndo utawakuta vibaka,malaya n.k
Aisee tarafa ya kisiju pwani bado ni vijiji kabisa tunavyoishi wenyeji.
 
Nenda Mbezi, Oysterbay, Mikocheni,Msasani kaangalie wanaoishi huko. Ukikuta wazaramo 10 njoo nikupatie pesa. Wazaramo washakimbia jiji wamewaachia Wabara ndo waendeleze. Wao wameenda kisiju,samvula chole,mbwinde n.k mbali na jiji.

Wamebaki Dar Wanyakyusa, Wachaga,Wasukuma,Wahaya,Wakinga n.k ndiyo wana pesa na wamejenga majengo ya maana. Wazaramo na nyumba zao mbavu za Mbwa huwaoni tena mjini.... Na watoto waliobaki ndo utawakuta vibaka,malaya n.k
Hayo maeneo uliyoyataja wazaramo wapo wengi tofauti ni kwamba wenyeji hawaongei sana lugha za asili. Katika hayo maeneo ninaowafahamu wanamiliki/familia zinazomiliki nyumba zaidi ya hizo kumi ulizotaja. Wengi wamepangisha hao washamba' uliowataja. Infact Oysterbay,masaki na hayo maeneo nyumba zilikuwa na nyingine bado zinamilikiwa na serikali. ILALA, TEMEKE,KIGAMBONI na UBUNGO bado asilimia kubwa wanaomiliki nyumba ni wenyeji. Wabara wengi ni wapangaji.

Tatizo lenu mtu mmoja au wawili wakimiliki nyumba hayo maeneo, ukoo nzima na kabila linajua na linakuwa so prioud na hilo. Population kubwa ya wahaya,wachaga,wanyakyusa,wasukuma na wabara wengine bado ipo huko vijijini kwenye maisha ya tabu. Wengi wanawaza lini watapata nafasi kuja jiji la Wazaramo na Wandengereko.

Nimeshatembea mikoani na najua kila kitu. Infact Kisarawe,Mkuranga/Kisiju,Mafia,Bagamoyo,Rufiji,Kibaha,Chalinze na Kibiti hayo pia ni makazi ya Wapwani.Na huwa tunajivunia tofauti na wewe unayelazimisha kuwa M-Daslam wakati huna asili ya huo mkoa.
 
Hakika umenena vyema.
 
  • mwenye akili ndogo ashaonekana usipate tabu.
  • Au Awali Umesahau nilishakuuliza sababu ya Tajiri DOSSA Azizi kuitwa benki? eti umeshasahau?
  • Kama ni akili ndogo unayo ww ambaye unasahau sahau maswali unayoulizwa.
Nani alimwita benki acha uzwazwa
 
Mimi Mmatumbi na nimesoma Hadi Postgraduate wewe umesoma Hadi darasa la ngapi?
Na Kama hujui Sasa hivi Watu wa Pwani ndiyo wameshika hatamu za Uongozi!
Darasani kwenu mlikua wangapi?
Under graduate mlikua wangapi?
 
Watu Pwani sio wote waliostaarabika ila wapo wastaarabu wachache tatizo hko ujuaji mwingi ila kicwani wengi wapo empty!
 
Back
Top Bottom