Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza.
Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ?
Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga kwamba ule pesa zake halafu usitimize makubaliano.
Niko pale nawazoom.
 

Walinzi Kwa umbea
 
Dau la milioni 10 each?
Hizo pesa ni kutoka world bank.loan au hazina yetu hii hii?
 
Unaambiwa hao hao wajumbe ndio walikuwa mstari wa mbele wakimshinikiza kamanda agombee. Famakhsihara wee, nini?

TAL: ^Mwalimu Nyerere alipotaka kung'atu, viongozi wengi wakamsihi sana kwamba aendelee tu kuwa rais maana nchi bado changa, hivyo ingeyumba. Basi Mwalimu akaendelea hadi alipokuja kugundua kwamba kumbe nchi changa waliyokuwa wakiizungumzia ni familia zao, biashara zao na matumbo yao.^
 
Ni Dkt Magufuli tu. Wengine woteeeeeee, watanzania tuna bei hasa wajumbe wa siasa.
 
Ulishamsikia hata mjumbe mmoja wa kamati kuu akitangaza upande aliopo kwa hawa wagombea wawili?

Box litaamua nani kidume, mpambano so far upo on tena tunatamani mmoja asijitoe kuupotezea radha.
 
Wajumbe wapo wangapi?
 
Wakijigeuza kuwa mbuzi basi watacheza ngoma ya CCM.Lkn wakijali umma ulio nyuma yao watakuwa binadamu safi.
 
Wajumbe wapo wangapi?
Inasemekana wako 1,200

Therefore, mathematically itakuwa 1,200 × 10,000,000 = 12,000,000,000 (Bilioni 12)

Definitely, kwa mawakala hawa wa waarabu wa DP World wala hii sio pesa so long as Tundu Lissu hawi mwenyekiti wa chama sumbufu kwa CCM na serikali yao yaani - CHADEMA...

Kama DP WORLD wamempa maelfu ya mabilioni ya dola (millions of USA dollors) na akatumia kaaribu bilioni 100 kununua pikipiki 700 kila mkoa, hizi ni senti ndogo sana kwa ma CCM haya majizi...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…