Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

Post yako ina ukakasi sawa na kuwa kumbusha watu matapishi ya mtu flani; kuwa alikuwa amekula chakula gani? Think before you post!!!
"Kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest'

wakati kauli hiyo ikitolewa aliyeitoa alikuwa ni mwanasiasa?

Ukiangalia hiyo kauli ipo kisiasa?

Think before you comment!!!

Hujiulizi kwa nini wengine siwakandii?
 
Naona umesha jijibu mwenyewe
Kumbe alitoa hizo kauli wakati akiwa SIO mwanasiasa
Sasa Iweje uhusishe kauli zake alizozitoa wakati akiwa sio mwanasiasa kwenye mambo ya Siasa?
 
Kauli hiyo ninaihusisha wakati huu kwa maana hata jimbo la KAWE linamisikiti na waislam.

Huu ndio muda wa kumjibu kuwa kauli aliyoitoa akiwa kanisani kwake hata wana KAWE Waliisikia. Na hawakuipenda

Hata kama ni wewe unatabia za kipuuzi za udini na ukabila utashughulikiwa tuu.

Hizo kauli za kuwa hakuna adui wa kudumu ni maneno ya Khanga tuu.
 
mh interesting!
 
Back
Top Bottom