Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.

SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam?

kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake
Sura ya An-Nisa (4:3) inazungumzia kuhusu kuruhusiwa kwa Waislamu kuwa na wake wengi. Aya hii inasema:
  • "Na kama mnaogopa kuwa hamtawi sawa na yatima, basi oleeni wanawake wawili, watatu, wanne; lakini kama mnaogopa kutotenda kwa uadilifu, basi mmoja tu..."
Faida yake:

Faida za Wake Wengi​

  1. Kusaidia Watoto na Familia:
    • Katika baadhi ya hali, kuwa na wake wengi inaweza kusaidia kuongeza idadi ya watoto na kuimarisha familia. Hii inaweza kuwa na faida katika jamii kwa kuongeza idadi ya watu na kuimarisha umoja wa familia.
  2. Kuhudumia Wanawake Walio Katika Hali Ngumu:
    • Uislam unatoa ruhusa kwa kuwa na wake wengi hasa kama njia ya kusaidia wanawake yatima au walio na hali ngumu. Kwa mfano, wanawake mayatima ambao hawana waume au wanaishi katika hali ngumu wanaweza kupokea msaada na usalama kupitia ndoa.
  3. Kutatua Matatizo ya Kijamii:
    • Katika baadhi ya jamii au nyakati, kuwa na wake wengi inaweza kuwa njia ya kutatua matatizo kama vile ukosefu wa waume au kupunguza idadi ya wanawake wasio na waume.
  4. Kusimamia Haki na Usawa:
    • Uislam unasisitiza umuhimu wa haki na usawa katika ndoa. Kila mume anapaswa kutenda kwa haki na uadilifu kwa wake zake wote. Hii inajumuisha kuwapatia kila mmoja haki na mahitaji yao kwa usawa.
 
Hivi kuoa wake wengi mtu unahitaji ruhusa? Si unaoa tu? au?

Kwenye kuoa hakuna kupangiana. Kila mtu aoe anavyoona infaaa 3, 4, 5 hata 10. Generali Msuguli anao 4. Selemani alikuwa nao mia kadhaa. Mtwa Mkwawa alikuwa nao kadhaa...
 
Mimi natafuta kuku wanaokula mahindi kama hawa waliomtajirisha Sauli 😀😀😀
 
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.

SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam?

kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake
Sura ya An-Nisa (4:3) inazungumzia kuhusu kuruhusiwa kwa Waislamu kuwa na wake wengi. Aya hii inasema:
  • "Na kama mnaogopa kuwa hamtawi sawa na yatima, basi oleeni wanawake wawili, watatu, wanne; lakini kama mnaogopa kutotenda kwa uadilifu, basi mmoja tu..."
Faida yake:

Faida za Wake Wengi​

  1. Kusaidia Watoto na Familia:
    • Katika baadhi ya hali, kuwa na wake wengi inaweza kusaidia kuongeza idadi ya watoto na kuimarisha familia. Hii inaweza kuwa na faida katika jamii kwa kuongeza idadi ya watu na kuimarisha umoja wa familia.
  2. Kuhudumia Wanawake Walio Katika Hali Ngumu:
    • Uislam unatoa ruhusa kwa kuwa na wake wengi hasa kama njia ya kusaidia wanawake yatima au walio na hali ngumu. Kwa mfano, wanawake mayatima ambao hawana waume au wanaishi katika hali ngumu wanaweza kupokea msaada na usalama kupitia ndoa.
  3. Kutatua Matatizo ya Kijamii:
    • Katika baadhi ya jamii au nyakati, kuwa na wake wengi inaweza kuwa njia ya kutatua matatizo kama vile ukosefu wa waume au kupunguza idadi ya wanawake wasio na waume.
  4. Kusimamia Haki na Usawa:
    • Uislam unasisitiza umuhimu wa haki na usawa katika ndoa. Kila mume anapaswa kutenda kwa haki na uadilifu kwa wake zake wote. Hii inajumuisha kuwapatia kila mmoja haki na mahitaji yao kwa usawa.
Hili swali litajibu kama Suleiman na Daudi walikuwa upande gani
 
Kwenye Ukatoliki, kanuni na mafundisho yanakataza mume kuwa na wake wengi. Pia Wakristo hawaruhusiwi kuoa wake wengi kama ilivyo katika baadhi ya madhehebu ya Kiislamu. Ukatoliki, ndoa inachukuliwa kuwa ni muungano wa mume na mke mmoja kwa wakati mmoja.
Rejea ,
1. Injili ya Mathayo 19:4-6, Yesu anasema, "Hamkujua kwamba yeye aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba kuwa mwanaume na mwanamke, akasema, Kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kuwa na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja?"
Aya hii inaonyesha kwamba Mungu alikusudia ndoa kuwa muunganiko wa mume na mke mmoja.

2. Mwanzo 2:24: "Kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kuwa na mke wake, nao watakuwa mwili mmoja." Hii inaonyesha mpango wa Mungu wa ndoa kuwa mume na mke mmoja.

3. Tito 1:6: "Ikiwa mtu ni mzee wa nyumba, mume wa mke mmoja, mwenye watoto wenye imani, wasiokuwa na lawama, wanaotii." Tena, uongozi wa kanisa unahitaji mume wa mke mmoja.

4. 1 Timotheo 3:2 ff
 
Dini za kuletewa ufanya watu kuwa wajinga maana haikuruhusu kufikiri kwa kutumia akili zako bali inakutisha kwa vitu vya uwongo. Jiulize kabla ya hizi dini za michongo mababu zako waliishije, mbona kwao kuwa na wake kadhaa ilikuwa ni kawaida tu? We ukitaka kuoa mke zaidi ya mmoja oa tu ila angalia uwezo wako.
 
Mbona mfalme Daudi alikuwa na wake wengi....na bado Mungu aliendelea kumtumia?
 
Dini za kuletewa ufanya watu kuwa wajinga maana haikuruhusu kufikiri kwa kutumia akili zako bali inakutisha kwa vitu vya uwongo. Jiulize kabla ya hizi dini za michongo mababu zako waliishije, mbona kwao kuwa na wake kadhaa ilikuwa ni kawaida tu? We ukitaka kuoa mke zaidi ya mmoja oa tu ila angalia uwezo wako.
Kabisa
Babu yangu alikuwa Mluteri na alikuwa na wake wawili rasmi na kanisa likaendelea kumheshimu.
 
Tunda la kati 😁

Hakiii mtafika zimekakamaa ngi ngi ngiiiiiiii
Undhani watu wawili tu pekee wangweza kuiongeza dunia...

Za kuambiwa changanya na za kwako sweetheart...
 
Vip hawa manabiii walikua na wake wangapi
Mfalme Solomon (Suleiman)
Abraham (Nabii Ibrahim)
Nabii Daudi

Vipi kuhusu watawala wakiafrica
walikuaga na wake wangapi wangapi

Vipi hapo kwenu mnapofuga kuku mnamajogoo mangapi na mitetea mingapi
 
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.
SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam?
Yaani umemchukua mtu mmoja, halafu kwa kuwa alifanya kitu fulani basi uje kuanzisha uzi kuulizia imani yake. Ni sawa na kuuliza hivi waisilamu wanaruhusiwa kufuga nguruwe, eti kwa sababu nimemuona Doto Magari (mzaramo muisilamu) akitembelea nguruwe wake katika Kijiji cha Nguruwe huko Dodoma chini ya mradi wa Mr. Manguruwe
 
Back
Top Bottom