hananja naye ni mchungaji? Huoni komedi zake mitandaoni? Labda kama hujui wakristo msingi mkubwa wa imani yao ni upendo, ndio amri kuu. Hawana chuki na waislam, huwapenda sanaHabari wajameni,
Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja naye kamtetea Rais kwa nn hawatukanwi wakristo wote duniani
Fafanua usituache hewani kama mpira.ni kawaida ya binadamu, kwa mfano ukikabwa na kuporwa na mwarabu mara mbili utasema waarabu wakabaji na ukiona mwarabu yoyote yule utaingiwa na hofu, kwa kifupi patterns zinatawala maisha ya binadamu, wengi tunanngalia patterns, life’s not fair …
Haoni hata aibu kuongea vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la 4 anaweza kuving'amua bila shida.hananja naye ni mchungaji? Huoni komedi zake mitandaoni? Labda kama hujui wakristo msingi mkubwa wa imani yao ni upendo, ndio amri kuu. Hawana chuki na waislam, huwapenda sana
Rejea nyuzi kadhaa huku ,au haujaona ..Hili nimeiona hata Jf na twitter (X) ,kule X kuna jamaa amechukua video ya shekhe yule siku ya mei meo ,akaandika '' kum@nin@ waislamu wote '' na matusi mengine kibaoSi umeona hata wewe namna umeuliza swali la kijinga,maana yake ujiandae utukanwe kama mashehe.
Wewe unaona hao wachungaji,maaskofu na mapadre wanakemea maswala ya kidini au wamekemea utomvu wa nidhamu wa wahuni serikalini ambao wanasababisha madhara kwa raia wote na hofu kwa jamii nzima?
Sawa tufanye kuna udini, wewe yanayoendelea serikalini yanakufurahisha,unaweza ukasimama na mbele ya hadhira ya watanzania ni kutuelezea mazuri ambayo yanalifaidisha taifa nyakati hizi za upotofu wa kimamlaka? Useme kutoka moyoni bila unafiki au uchawa?😒
Punguza usaliti ,ukiambiwa baadhi ya waislamu hawatambua BAKWATA utasemaje?hananja naye ni mchungaji? Huoni komedi zake mitandaoni? Labda kama hujui wakristo msingi mkubwa wa imani yao ni upendo, ndio amri kuu. Hawana chuki na waislam, huwapenda sana
So huyo mtu aliyechukua hiyo video na kuandika hayo maneno makali ya kutusi ndie muwakilishi na msemaji wa wakristo wote,kwanini usingetafuta taarifa zake personal mfano majina yake au majina anayotumia mtandaoni na uscreenshot post yake then uje ufungue uzi ambazo utaandika kichwa cha habari specifically kumhusu yeye na sio kusema wakristo wanatukana waislam.Rejea nyuzi kadhaa huku ,au haujaona ..Hili nimeiona hata Jf na twitter (X) ,kule X kuna jamaa amechukua video ya shekhe yule siku ya mei meo ,akaandika '' kum@nin@ waislamu wote '' na matusi mengine kibao
Una uhakika Hanaja hajatukanwa au unaropoka tu?Habari wajameni,
Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja naye kamtetea Rais kwa nn hawatukanwi wakristo wote duniani
Mjinga ,nn tafuta nyuzi ambao wametunakwa wakristo ,elewa kwanza halafu utoe maoni sio unafirikia kwa kutumia makalio ...Uoneshwe nyuzi za kutukana waislamu wote kuhusu hilo suala ,na wewe usinponioneshe ya kutukanwa wakristo nikufanye nn?Una uhakika Hanaja hajatukanwa au unaropoka tu?
wakristo hawana chuki na waislam fahamu hilo. Unaweza ukaingia kanisani ukajumuika na wakristo bila shida na ukakaribishwa kwa furaha kubwa!Haoni hata aibu kuongea vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la 4 anaweza kuving'amua bila shida.
Sasa huyu sijui tumuweke kundi gani kwakweli maana tukisema muislamu tutawakosea waislam wote maana waislam wenye utimamu wapo na wanajielewa so shida sio dini ni huyu muhusika binafsi na ukosefu wake wa akili na kukosa ufahamu wa maswala ya kisiasa.
Ushahidi ni kwa mwamposa pale. Kuna akina mama wa kislam wanaenda wamevaa majuba kabisa hakuna mtu mwenye time nao wanachukuliwa kama waumini wengine ingawa mavazi yanaonyesha kuwa wao si wafuasi wa dini ya kikristo.wakristo hawana chuki na waislam fahamu hilo. Unaweza ukaingia kanisani ukajumuika na wakristo bila shida na ukakaribishwa kwa furaha kubwa!
Ila msikitini msala,utaitwa kafiriwakristo hawana chuki na waislam fahamu hilo. Unaweza ukaingia kanisani ukajumuika na wakristo bila shida na ukakaribishwa kwa furaha kubwa!
Huyo kakosea yeye kama yeye, ndio kusema ni msimamo wa wote?Rejea nyuzi kadhaa huku ,au haujaona ..Hili nimeiona hata Jf na twitter (X) ,kule X kuna jamaa amechukua video ya shekhe yule siku ya mei meo ,akaandika '' kum@nin@ waislamu wote '' na matusi mengine kibao
HuelewekiHabari wajameni,
Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja naye kamtetea Rais kwa nn hawatukanwi wakristo wote duniani