Je , wakristo wakafundishwa chuki dhidi ya waislamu wote bila ya kutambua?

Nyuzi nyingi humu ndani kwa nn mnahukumu wote ? Endeleeni kufundishwa ujinga mnachokitafuta mtakipata
angalia namna ya kukoment ni nani unamlenga hoja yake imfikie, itakusaidia baadae, mana umefanya kama hao unaowashutumu
 
Muslin brotherhood tunawapenda kama ndugu zetu,ila mara nyingi hua mna victim mentality sijui shida inakuaga nn.
 
Nimesumbuana na wenzio kadhaa kwenye nyuzi zao kama mbili ,acheni hizi mambo .
 
Muslin brotherhood tunawapenda kama ndugu zetu,ila mara nyingi hua mna victim mentality sijui shida inakuaga nn.
Hatuna undugu na nyie ila tunaomba kabisa msitutaje kwenye harakati zenu ,nyie ni vibaraka wa wazungu tena ni waoga.

Kama wanaume kweli pambaneni bila ya kutaja ,better kumshambulia mtu binafsi ,kama shekhe basi mshambulieni ... Wengine kwetu siasa ni unakafiri so usitutaje kwenye upumbavu wenu.
 
Habari wajameni,

Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja naye kamtetea Rais kwa nn hawatukanwi wakristo wote duniani
Wagalatia wana chuki na hawana akili.....angalia wanavyomchukia Rais wa nchi kisa sio wa dini yao wapuuzi hawa.
 
Wajinga sana hao jamaa , wanadanganywa na viPhd vya kukusanyia sadaka ..Phd hazina faida za kupewa ,wajinga sana hao jamaa .

Wanataka waislamu wawaunge mkono.
 
Habari wajameni,

Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja naye kamtetea Rais kwa nn hawatukanwi wakristo wote duniani
Vipi kwani wewe umeshatukaniwa Mamako mpaka unalalamika ? Gubu kwa mtoto wa kike kama wewe haipendizi ?
 
Wajinga sana hao jamaa , wanadanganywa na viPhd vya kukusanyia sadaka ..Phd hazina faida za kupewa ,wajinga sana hao jamaa .

Wanataka waislamu wawaunge mkono.
Ndio wanasamabaza chuki na maaskofu wao dhidi ya Rais...wanataka wavuruge amani ya nchi.
 
Hatuna undugu na nyie ila tunaomba kabisa msitutaje kwenye harakati zenu ,nyie ni vibaraka wa wazungu tena ni waoga.

Kama wanaume kweli pambaneni bila ya kutaja ,better kumshambulia mtu binafsi ,kama shekhe basi mshambulieni ... Wengine kwetu siasa ni unakafiri so usitutaje kwenye upumbavu wenu.
Unaona sasa victim mentality inavyokutesa, mtu katukana huko unachukulia vitu peeersonal, relax bro punguza makasiriko. Kapigane sasa kama we mwanaume sio unabwabwaja humu bila ukomo
 
Victim ni nyie wajinga pambaneni na CCM sisi hamtuwezi mtakimbia nchi bure...Kwenye harakati zenu msitutaje mbwa nyie.
 
Wala msitafute mchawi tatizo hao masheikh wenu wakitoa hayo matamko ninyi waislam hamuwakemei bali wengi wenu mnawaunga mkono kama manyumbu ndio maana mnatukanwa, ila kina mwamposa and co wakitoa matamko kama hayo unaona kabisa kuna wakristo wengi tu wanawakemea na hawawaungi mkono, hivyo kwa mantiki hiyo ni waislam wenyewe ndio mnafanya ionekane kama msimamo wa viongozi wenu wa dini ndio msimamo wa waislam wengi tofauti na wakristo
 
Back
Top Bottom