Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPA
 
Usiwadanganye watu,PSU na JWTZ wapi na wapi? Waambie kuwa trainers wao wengine wanatoka JWTZ
Yeah na ni kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu tu siyo yote labda kama trainer pia kama afisa kipenyo JWTZ
 
Walinzi wa raisi sio wanajeshi,wale ni TISS idara ya PSU
Dah wengine tupo nyuma kabisa kwenye hizi anga mimi nilikuwa najua TISS ni kitengo kilicho ndani ya jeshi na PSU ni kitengo kingine kilicho ndani ya jeshi[emoji3][emoji3]
 
Yule siyo mpemba kwao ni mafia/rufiji siku moja Jiwe alimtambulisha barabarani. Alikuwa anapata wakati mgumu na shida sana wakati wa mfungo kwasababu wakati huo mara nyingi ziara za Jiwe zilikuwa sokoni.
Kuweni na adabu basi
 
Ila jiwe alikuwa na ulinzi wa kutisha,alikuwa mihoga sana wa risasi lakini jasiri sana wa kukabiliana na korona mpaka kanisani
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Umejuaje mkuu
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…