Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPA
 
Yule siyo mpemba kwao ni mafia/rufiji siku moja Jiwe alimtambulisha barabarani. Alikuwa anapata wakati mgumu na shida sana wakati wa mfungo kwasababu wakati huo mara nyingi ziara za Jiwe zilikuwa sokoni.
Kuweni na adabu basi
 
Ila jiwe alikuwa na ulinzi wa kutisha,alikuwa mihoga sana wa risasi lakini jasiri sana wa kukabiliana na korona mpaka kanisani
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Umejuaje mkuu
 
Huyo

fala alikua mbayaaaaaaa kiufupi alizeeka kabla kama mpoki enzi zile anaigiza na akina dkt cheni , sasahivi alikua kama simtank na ka weupe kakaingia, duh kweli kiyoyozi raha, hata mzee baba mwenyewe alikua mweusiiiiii hahahaaaaa ila yamekwisha wapishe wengine
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom