kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
Sio Lindi ni mkoa wa pwani lile jimbo analoongoza mbunge na Waziri wa Michezo anaitwa ulegaSeleman kwao Lindi sio Mpemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Lindi ni mkoa wa pwani lile jimbo analoongoza mbunge na Waziri wa Michezo anaitwa ulegaSeleman kwao Lindi sio Mpemba
Uko sahihi a.k.a yake wanamuita alhajSio mpemba Ni mndengereko wa rufiji
Mshamba sana wewe mrundi, bila shaka utakuwa na vi element vya kike kuwaonea wivu wanaume wenzako.Itakuwa alianza Kwanza na aliyekuzaa.
KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPAWanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Kama Babaako vile.Mshamba sana wewe mrundi, bila shaka utakuwa na vi element vya kike kuwaonea wivu wanaume wenzako.
Jina lake Ni MbakiteleUko sahihi a.k.a yake wanamuita alhaj
Yeah na ni kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu tu siyo yote labda kama trainer pia kama afisa kipenyo JWTZUsiwadanganye watu,PSU na JWTZ wapi na wapi? Waambie kuwa trainers wao wengine wanatoka JWTZ
Baba yako ndio shoga ndio maana kakurithisha baadhi ya tabia zake, wewe frank kutoka pale imekupunguzia lindi la umasikini lililokuzunguka?Kama Babaako vile.
You are nothing,uliaminishwa vibaya ukavimba kichwa.Hey just keep your Pig Mouth shut okay?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwahiyo ulikuwa unataka ndani ya pale Ikulu ( sehemu Nyeti na Muhimu kuliko nyinginezo zote nchini ) 24/7 washike tu Manati na Mawe?
Dah wengine tupo nyuma kabisa kwenye hizi anga mimi nilikuwa najua TISS ni kitengo kilicho ndani ya jeshi na PSU ni kitengo kingine kilicho ndani ya jeshi[emoji3][emoji3]Walinzi wa raisi sio wanajeshi,wale ni TISS idara ya PSU
Hapana, wa Mwinyi ni Luteni Kanali..Ni kanali
Kuweni na adabu basiYule siyo mpemba kwao ni mafia/rufiji siku moja Jiwe alimtambulisha barabarani. Alikuwa anapata wakati mgumu na shida sana wakati wa mfungo kwasababu wakati huo mara nyingi ziara za Jiwe zilikuwa sokoni.
Wilfred Mwango Sabasaba day Mtwara 1997 au 98 kama sikosei na hatimae Lindi Sec Advance jamaa peace sana licha ya wengi kufikira ni mrundi but jamaa ni Chinga pure tutakumiss sana braza hakika umefanya kazi yako vyema 2015- 2021 machi!!
Mimi nimeanza kumuona huyo jamaa akiwa na Magu toka enzi za kmpeni 2015 sa nashangaa jamaa ananza kamba.Acha uongo wewe fala. NI TISS wa muda mrefu sana huyo.
Nani kakudanganya anaitwa Frank?Frank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
😂 😂 😂 Nimecheka sanawatu wanadai huyu jamaa ndio kigogo
Umejuaje mkuuHuyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
😂 😂 😂Huyo
fala alikua mbayaaaaaaa kiufupi alizeeka kabla kama mpoki enzi zile anaigiza na akina dkt cheni , sasahivi alikua kama simtank na ka weupe kakaingia, duh kweli kiyoyozi raha, hata mzee baba mwenyewe alikua mweusiiiiii hahahaaaaa ila yamekwisha wapishe wengine