dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Kigogo nimeamini ni mhuni tu, kama wahuni wengineNimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo nimeamini ni mhuni tu, kama wahuni wengineNimeon kigogo kakausha anasema mwanangu kaloli yupo fit
Swali kubwa hapa nani yuko juu ya mwezake, swali langu kwako lingine nani anahusika na kufanya vetting ya uteuzi wa watu fulani either mkuu wa mkoa au DC nk? Anayependekeza jina kuwa huyu anafaa kwa nafasi hii ni TISS ama JWTZ?Mabeyo hajawahi kuwq TISS. Jeshini alishawahi kuwa mkuu wa MI. Inshort hawezi toka mtu TISS akawe CDF, ila inawezena Brigedia General kwenda kuwa DIG TISS ndio utaelewa nani baba
Nani anayepeleka jina kuwa huyu awe mkuu wa majeshi nk, nani anafanya vetting na kupitia iyo?Kwa taarufa yako Jeshi lina jitosheleza kila idara. Veting tiss hufanya kwenye mambo ya kiraia na sio jeshini. Jeshi lina mfumo wake
Mkuu asante kwa elimu, hakika nimejifunza kitu kutoka kwako, mm si mjuaji wa haya mambo ila najifunza hapa baada ya kuona huu uzi angalau nimepata kitu akilini mwangu kwa sasa. Mungu akubariki sanaTISS jeshini wanafanyaje ? Jeshini wana MI .
Jina linapelekewa na jeshi lenyewe ( baada ya kukaa kikao au vikao vyao katika idadi ya Generals kadhaa huepndekeza jina) na vetting hufanyika na jeshi lenyewe.Nani anayepeleka jina kuwa huyu awe mkuu wa majeshi nk, nani anafanya vetting na kupitia iyo?
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Wachawi hao
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kujitetea huku hakuna mtu ana hangaika na kukosea kwako. Hata hao ma intel officer huwa wanakosea, sasa wewe ukikosea kuna maajabu gani ?Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
Mbona huwaambii na hao Wanaoendelea Kutumia muda wao mwingi Kunishupalia juu ya Kukosea Kwangu huko waache kwani tayari nimeshatoa Maelezo ya Kutosha? Acha Unafiki na usinipotezee muda kisha nikakujibu vibaya bure ukasirike sawa? Nimemaliza.Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kujitetea huku hakuna mtu ana hangaika na kukosea kwako ? Hata hao ma intel officer huwa wanakosea, sasa wewe ukikosea kuna maajabu gani ?
Wewe haupo sawa, kati ya mimi na wewe nani ambae ameanza ku mquote mwenzake ?Mbona huwaambii na hao Wanaoendelea Kutumia muda wao mwingi Kunishupalia juu ya Kukosea Kwangu huko waache kwani tayari nimeshatoa Maelezo ya Kutosha? Acha Unafiki na usinipotezee muda kisha nikakujibu vibaya bure ukasirike sawa? Nimemaliza.
Namkubali sana huyu mwamba kumbe anaitwa Frank.bado naona wanalinda mwili wa mueshimiwaFrank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Wajuaji wengi sana hukuEti “ kwakuwa wanawake wanazeeka haraka...”
You people! Women will be the downfall of you!
Ila jamaa macho ayatamaniki kabisa inaonekaa kila saa machozi yanamtokaKuna mtu kapiga picha katuma kwenye group langu la WhatsApp nao walisema amekufa huyo hapoView attachment 1729849
Hahaaa kwanini JF isiwe na utaratibu wa kuwaondoa member wa namna hii?Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
Kwa kuongeza nilichoambiwa na mshkaji wangu Commando ni kwamba mafunzo ya Special forces ni Syllabus kabisa ambayo hupitia na kuna mitihaniNimeshalisema na Kulisisitiza hili hapa ila bado nikabishiwa tu hivyo labda Wewe kwa huu Ufafanuzi wako sasa watakuelewa Ndugu.
Atakuwa na wenzake wote St Peters na wote watamsindikiza marehemu hadi Chato.
M...ya kwao tanga huo uzanzibar unatokea wapi?..au ule weupe unakuchanganya?Hajapewa U DC ( Ukuu wa Wilaya kama usemavyo ) bali amekuwa ni DSO ( Afisa Usalama wa Wilaya ) katika Mkoa Mmoja wenye Watu wanaoipenda na kuijua Hela kuliko Watanzania wengine wote. Na ana Asili ya Uzanzibari ambapo hata Kitaaluma ni Msomi mzuri tu mwenye Masters Degree yake.
Ungekuwa huna time na Mimi ungepoteza muda wako Kuniandikia Mkeka wako wote huu? Pumbavu!!Wewe haupo sawa, kati ya mimi na wewe nani ambae ameanza ku mquote mwenzake ?
Umeona mie nimekuuliza kuhusina n hilo ? Alafu nani kakumbia mie ni msuruhishi humu ndani hadi niwaambie watu wache kukuambia kuwa umekosea ?
Usijifanye mjuaji sana kijana, kubali umetoa boko, maisha yaendelee. Ukijifanya mjuaji sana hutofika popote, kubali umekosea na urekebishe ulipo kosea sio kujidai upo sahihi kwenye kila jambo. Ndio maana nimekuambia hata Intel officer hukosea, naona unavimbaaa mashavuuu, as if watu tuna time na wewe
Kijana acha ujuaji na majivuno. Hii ni dunia, kidole kimoja hakifanyi kazi ndio maana vipo vitano. Muungwana akosolewapo hukubali, sie ni binadamu hukoseaUngekuwa huna time na Mimi ungepoteza muda wako Kuniandikia Mkeka wako wote huu? Pumbavu!!
Unaona nguvu ya TISS bs ana deal na raia directly na wanaripoti kwa 'Sponsor' directly.Swali kubwa hapa nani yuko juu ya mwezake, swali langu kwako lingine nani anahusika na kufanya vetting ya uteuzi wa watu fulani either mkuu wa mkoa au DC nk? Anayependekeza jina kuwa huyu anafaa kwa nafasi hii ni TISS ama JWTZ?
Kiitifaki wanatakiwa wafanye hivyo Kwake kwakuwa ndiyo walikuwa assigned Kwake kama Walinzi. Hata katika Msiba wa Hayati Nyerere Walinzi wake akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Marehemu Mzee Simon Mohammed na Wengineo Wanne walifanya hivyo Kwake.Namkubali sana huyu mwamba kumbe anaitwa Frank.bado naona wanalinda mwili wa mueshimiwa