Sijui unapata faida gani kwa uongo wa namna hii jamaaa kwao ni mtwara tena ni mmwera sasa huko Rukwa sijui kwa naniKwahiyo aliyefariki basi atakuwa anaitwa Frank Kaloli ( ambaye hata hapa yupo Pichani na ndiyo anayejadiliwa sana kwa Kunenepa Kwake kulikotoka na Kujiachia kwa Kuridhika ) na yawezekana siyo huyo ( huyu ) Wilfred Mwango wako Ndugu? Na nimeambiwa alizikiwa Kwao Rukwa kama aliyenitonya hakukosea au sikumsikia vibaya.