Forexman
Senior Member
- May 7, 2020
- 107
- 202
[emoji50] Usiniambie BBC na Al Jazeera wameitangazia dunia kuwa JPM kadead kwa corona, it's so embarrassingNi kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
This shit is serious na rais wa awamu ya sita inabidi awe makini kutoweka ukaribu na team nzima ya JPM