Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Frank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Askari Polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frank Ana kazi yake na Ana Taaluma yake, utamuona Tu Mkuu
Yale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Hakuna komandoo mwanamke duniani
Acha Uwongo duniani kote huwa hakuna Mwanamke Commando na hii ni kutokana na Maumbile yao na Mfumo wao Kibaiolojia. Isipokuwa huwa wanapewa tu Matunzo ya Kiwango fulani cha Ukakamavu. Ukomando ni Habari nyingine. Mtafute Mwanajeshi yoyote au Mbobezi yoyote wa Masuala ya Kimedani ( Kijeshi ) akuambie.
Kweli kabisa,Mungu wetu ni Mzungu!Wote hao mbele ya manati ya mzungu Wana smoke sulphur any minutes, na ku hit the ground, mzungu fundi.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Mkuu hii chai ya moto saana.. unalinganisha TISS na JW..? Wako vizuri mno, ila JW kubwa sana mkuu..Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Jamaa amenishangaza hata mimi sana..KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPA
HahahaahaKweli kuna mijitu mipuuzi sana, hivi mnadhani PSU ni kikos cha mabaunsa wa Buguruni au Mtogole waliokuja from no where?
Kwenye utawala wangu matajiri wataishi kama mashetani.Unaonekana ni mtu unaetamani kila mtu aishi kwa shida. Hiyo ni roho ya kichawi
Bruce Lee alikuwa mkali kwenye movie tu, kwenye uhalisia alikuwa mweupe kama pamba.Namba 4...peleka masihara yako hukoo, Bruce lee hakuwa wa kawaida...[emoji848]
Ulishawai muona live anapiganaBruce Lee alikuwa mkali kwenye movie tu, kwenye uhalisia alikuwa mweupe kama pamba.
Wale ni ma komandoo dada usibishe brucelee hafikinamba nne chai
Jamaa gani uyoNi mtoto wa Mzena huyo, Mzena ndo mkurugenzi usalama wa Taifa wa kwanza baada ya uhuru.