Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Acha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
Nakubari maana kule tweeter yule mlinzi wa The late anaitwa kaloli kumbe ni komandoo yule black ivi
 
Siku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )

R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
 
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Kwaiyo Mkuu wa majeshi ni TISS
 
Mkuu brigedia gen si ndio anaongoza brigade?
Hivi tuna brigade ngap?
  • 5 × infantry brigade
  • 1 × tank brigade
  • 3 × artillery battalion
  • 2 × air defence artillery battalion
  • 1 × mortar battalion
  • 2 × anti-tank battalion
  • Ila hii ni ya kitambo kidogo
 
Yale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.

Wajaribuni in direct ways basi tuelewe!

Sio mnapita njia za panya then mnajisifu!

Unfortunately the sleeping dogs are now awake!
 
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.

Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.

Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Walinzi wa Rais ni walewale. Wanafundishwa TISS.na wengi wao ni mafisadi wa JWTZ.
 
Mbona wanasema nae kaungana na Boss wake huko kwa Mawingu
Ni kweli huyo Wilfred Mwango ( wengi tumekosea kumuita Frank ) ameshafariki na Kuzikwa Wiki Moja iliyopita. Wa ndani huko Kanihakikishia na sasa nimeamini kuwa hata Boss wake Marehemu ( Hayati ) kumbe nae Corona ndiyo ime.fyeka na siyo huo Moyo na Betri yake aliyokuwa nayo.
 
Siku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )

R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
Daah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead [emoji17], nilikua siamini ila kwakuwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazo

Hivi jina lake ni frank au wilfred?
 
Daah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead [emoji17], nilikua siamini ila kwakuwa bwana mkubwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazo

Hivi jina lake ni frank au wilfred?
Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
 
Back
Top Bottom