MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #321
Kwahiyo aliyefariki basi atakuwa anaitwa Frank Kaloli ( ambaye hata hapa yupo Pichani na ndiyo anayejadiliwa sana kwa Kunenepa Kwake kulikotoka na Kujiachia kwa Kuridhika ) na yawezekana siyo huyo ( huyu ) Wilfred Mwango wako Ndugu? Na nimeambiwa alizikiwa Kwao Rukwa kama aliyenitonya hakukosea au sikumsikia vibaya.Informer wako kakudanganya.. Wilfred mwango ambae ninamjua mimi kwao ni mtwara,na yuko hai mpaka sasa.karudishwa kambini baada ya Magu kufariki.