Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Informer wako kakudanganya.. Wilfred mwango ambae ninamjua mimi kwao ni mtwara,na yuko hai mpaka sasa.karudishwa kambini baada ya Magu kufariki.
Kwahiyo aliyefariki basi atakuwa anaitwa Frank Kaloli ( ambaye hata hapa yupo Pichani na ndiyo anayejadiliwa sana kwa Kunenepa Kwake kulikotoka na Kujiachia kwa Kuridhika ) na yawezekana siyo huyo ( huyu ) Wilfred Mwango wako Ndugu? Na nimeambiwa alizikiwa Kwao Rukwa kama aliyenitonya hakukosea au sikumsikia vibaya.
 
Hilo limeshazingatiwa Ndugu na ndiyo maana hata leo umeona Team mpya ya Kiulinzi kutoka PSU ikiwa nae.

Hata tu kule kwenda Kumtembelea ( Kumsabahi ) na Kumhani Mjane Mama Janet pia kuna Jambo la Kiafya lilifanyika ili Kujiridhisha nae kuwa hana Maambukizi ya Corona.

Baadae pia hata Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi tena akiwa na Mkewe Bi. Mariam nao walienda Kumhani pale Ikulu wakiwa hawana hofu yoyote na wakijiamini.
Eeeh bhana hivi ni kweli JPM amedead kwa corona na sio huu ugonjwa tunaotangaziwa kama kiini macho ili tusielewe kinachoendelea

Nimepitia tweets za Tundu Lissu huko Twitter ameanika kila kitu na amesema yuko tayari kurudi Tanzania endapo ataruhusiwa kuanika maovu ya JPM bila kikwazo chochote

Aisee corona is very real haya mambo ya kujifukiza ni pure blackmailing, yameshapitwa na wakati tufuate sheria za kisayansi tusipo kuwa makini tutadead wengi kimyakimya
 
Hujui Kitu Walinzi wa Raisi ni wa Raisi na Sio Makamu so transition power inahama na Walinzi wanabaki kwenye possition zao so Wa Aliyekufa wanamfuata Mother na Wale wa Mother watamfuata atakayeteuliwa Nchimbi 😉

Natumai huko Naliendele ulipo, umeangalia maza alivyoapishwa na ile PSU yake nadhani utakuwa umeiona, futa ujinga wako
 
Tofautisha Commander na Commando mkuu

Kwakweli mpaka leo hii sijawahi kuona Mwanamke Commando dunia mzima

Wapo kadhaa Marekani inajaribu kuwanyanyua wako kwenye Spec ops units zenye mazoezi mbilinge ila hakuna "niliyemuona/kumsikia" kafika level ya Commando

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwamba Comando na Commander?!?

It’s really crazy Nisamehe kwa kicheko!
 
Tahadhari kubwa zichukuliwe kwa wale mtakaoenda kumuaga hayati uwanja wa uhuru kuna siri nzito bado zimefichwa, ukoloni mamboleo unatuangamiza

Nadhani kwenye haya matukio ya kumuaga hayati Dar, Dodoma, Mwanza na Geita ndio ambako raia wengi watapata corona usishangae baada ya maombolezo ukisikia waTanzania milioni 10 wanaugua corona

Nawaza kwa sauti
 
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Mnajifanya mnajua saaaana utadhani mnaishi Kota za TISS kumbe mnaishi huko kitunda mwanagati[emoji1]
 
Tofautisha Commander na Commando mkuu

Kwakweli mpaka leo hii sijawahi kuona Mwanamke Commando dunia mzima

Wapo kadhaa Marekani inajaribu kuwanyanyua wako kwenye Spec ops units zenye mazoezi mbilinge ila hakuna "niliyemuona/kumsikia" kafika level ya Commando

Eti Commando na Commander?

Haki life is crazy!!
 
Rais wa Croatia, kafanye deep research ya huyu mwanamama utagundua maajabu yake sio wa mchezomchezo

She's a complete commando but kwakuwa wanawake wanazeeka haraka ndo maana wengi hawadumu muda mrefu kwenye game

Eti “ kwakuwa wanawake wanazeeka haraka...”

You people! Women will be the downfall of you!
 
Habari yake hii hapa
Instagram%20media%20-%20CMmmMLtrD2h%20(%20800%20X%20640%20).jpg
 
Anayekubishia katika hili ni Mwendawazimu na Juha kwani upo sahihi 100% hakuna Commando Mwanamke na hii ni kutokana ma Mfumo wao mzima na Kimwili ( hasa wa ndani ) ambao unatofauti kubwa na wa Kiume. Heko mno Ndugu.

Unfortunately there are people who believe and trust you!

Kejeli zako haziondoi ukweli kwamba the World has Women commanders/ (commandos)!!!

Sinse the sweet ugly old days!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwamba Comando na Commander?!?

It’s really crazy Nisamehe kwa kicheko!

Eti Commando na Commander?

Haki life is crazy!!

Unfortunately there are people who believe and trust you!

Kejeli zako haziondoi ukweli kwamba the World has Women commanders/ (commandos)!!!

Sinse the sweet ugly old days!
Aiseee wewe ni wa kuhurumiwa tu, mjadala umekuzidi kimo
 
Mimi nitamkumbuka yule askari polisi aliyeua nyoka iringa wakati waziri mkuu akiwa ziara iringa[emoji1602][emoji1602]
 
Eeeh bhana hivi ni kweli JPM amedead kwa corona na sio huu ugonjwa tunaotangaziwa kama kiini macho ili tusielewe kinachoendelea

Nimepitia tweets za Tundu Lissu huko Twitter ameanika kila kitu na amesema yuko tayari kurudi Tanzania endapo ataruhusiwa kuanika maovu ya JPM bila kikwazo chochote

Aisee corona is very real haya mambo ya kujifukiza ni pure blackmailing, yameshapitwa na wakati tufuate sheria za kisayansi tusipo kuwa makini tutadead wengi kimyakimya
Tatizo la moyo analo muda mrefu
 
Informer wako kakudanganya.. Wilfred mwango ambae ninamjua mimi kwao ni mtwara,na yuko hai mpaka sasa.karudishwa kambini baada ya Magu kufariki.
Napataga tabu sana kwa mtu kudanganya tena ukiangalia hakuna faida yeyote anayopata
 
Back
Top Bottom