Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
[emoji50] Usiniambie BBC na Al Jazeera wameitangazia dunia kuwa JPM kadead kwa corona, it's so embarrassing

This shit is serious na rais wa awamu ya sita inabidi awe makini kutoweka ukaribu na team nzima ya JPM
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]another crack in my ribs!

Kwamba hakuna commander mwanamke?!?

Are you people for real??

Keep on digging Chief!
Tofautisha Commander na Commando mkuu

Kwakweli mpaka leo hii sijawahi kuona Mwanamke Commando dunia mzima

Wapo kadhaa Marekani inajaribu kuwanyanyua wako kwenye Spec ops units zenye mazoezi mbilinge ila hakuna "niliyemuona/kumsikia" kafika level ya Commando
 
Rais wa Croatia, kafanye deep research ya huyu mwanamama utagundua maajabu yake sio wa mchezomchezo

She's a complete commando but kwakuwa wanawake wanazeeka haraka ndo maana wengi hawadumu muda mrefu kwenye game
 
Huyu mbona hata juzi kwenye uzinduzi wa stendi mbezi Luis alikuwepo?
 
Ni kweli ameshafariki na Kuzikwa Kitambo tu. Uko sahihi haitwi Frank kama nilivyoancika Kimakosa bali anaitwa Wilfred Mwango. Nimesikitika na kumbe ni Corona imemfyeka hivyo nakubaliana sasa na BBC pamoja na Al Jazeera hadi Ntv Kenya kuwa Marehemu ( Hayati ) Wetu kaondoka na Corona na hiyo ya Moyo ni kutaka tu Kutokukiri Kimataifa kuwa Tanzania Covid-19 haipo kama tulivyoaminishwa na iliyemfyeka.
Informer wako kakudanganya.. Wilfred mwango ambae ninamjua mimi kwao ni mtwara,na yuko hai mpaka sasa.karudishwa kambini baada ya Magu kufariki.
 
Rais wa Croatia, kafanye deep research ya huyu mwanamama utagundua maajabu yake sio wa mchezomchezo

She's a complete commando but kwakuwa wanawake wanazeeka haraka ndo maana wengi hawadumu muda mrefu kwenye game
Wacha kufuata taarifa zisizokua na uthibitisho
Nadhani unamuongelea Kolinda Kitarovic(Ambaye sio rais kwa sasa)

Hajawahi kuwa Commando,let alone kuserve
 
[emoji50] Usiniambie BBC na Al Jazeera wameitangazia dunia kuwa JPM kadead kwa corona, it's so embarrassing

This shit is serious na rais wa awamu ya sita inabidi awe makini kutoweka ukaribu na team nzima ya JPM
Hilo limeshazingatiwa Ndugu na ndiyo maana hata leo umeona Team mpya ya Kiulinzi kutoka PSU ikiwa nae.

Hata tu kule kwenda Kumtembelea ( Kumsabahi ) na Kumhani Mjane Mama Janet pia kuna Jambo la Kiafya lilifanyika ili Kujiridhisha nae kuwa hana Maambukizi ya Corona.

Baadae pia hata Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi tena akiwa na Mkewe Bi. Mariam nao walienda Kumhani pale Ikulu wakiwa hawana hofu yoyote na wakijiamini.
 
Tofautisha Commander na Commando mkuu

Kwakweli mpaka leo hii sijawahi kuona Mwanamke Commando dunia mzima

Wapo kadhaa Marekani inajaribu kuwanyanyua wako kwenye Spec ops units zenye mazoezi mbilinge ila hakuna "niliyemuona/kumsikia" kafika level ya Commando
Anayekubishia katika hili ni Mwendawazimu na Juha kwani upo sahihi 100% hakuna Commando Mwanamke na hii ni kutokana ma Mfumo wao mzima na Kimwili ( hasa wa ndani ) ambao unatofauti kubwa na wa Kiume. Heko mno Ndugu.
 
Rais wa Croatia, kafanye deep research ya huyu mwanamama utagundua maajabu yake sio wa mchezomchezo

She's a complete commando but kwakuwa wanawake wanazeeka haraka ndo maana wengi hawadumu muda mrefu kwenye game
Na Bwana ( Mpenzi ) wake ni Yule Nahodha ( Captain ) wa Timu ya Taifa ya Croatia. Unaambiwa Mheshimiwa Rais mwanamama huyo Kakolea ile mbaya kwa Nahodha huyo.
 
Back
Top Bottom