Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Mabeyo hajawahi kuwq TISS. Jeshini alishawahi kuwa mkuu wa MI. Inshort hawezi toka mtu TISS akawe CDF, ila inawezena Brigedia General kwenda kuwa DIG TISS ndio utaelewa nani baba
Swali kubwa hapa nani yuko juu ya mwezake, swali langu kwako lingine nani anahusika na kufanya vetting ya uteuzi wa watu fulani either mkuu wa mkoa au DC nk? Anayependekeza jina kuwa huyu anafaa kwa nafasi hii ni TISS ama JWTZ?
 
TISS jeshini wanafanyaje ? Jeshini wana MI .
Mkuu asante kwa elimu, hakika nimejifunza kitu kutoka kwako, mm si mjuaji wa haya mambo ila najifunza hapa baada ya kuona huu uzi angalau nimepata kitu akilini mwangu kwa sasa. Mungu akubariki sana
 
Nani anayepeleka jina kuwa huyu awe mkuu wa majeshi nk, nani anafanya vetting na kupitia iyo?
Jina linapelekewa na jeshi lenyewe ( baada ya kukaa kikao au vikao vyao katika idadi ya Generals kadhaa huepndekeza jina) na vetting hufanyika na jeshi lenyewe.
 
Wachawi hao
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kujitetea huku hakuna mtu ana hangaika na kukosea kwako. Hata hao ma intel officer huwa wanakosea, sasa wewe ukikosea kuna maajabu gani ?
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kujitetea huku hakuna mtu ana hangaika na kukosea kwako ? Hata hao ma intel officer huwa wanakosea, sasa wewe ukikosea kuna maajabu gani ?
Mbona huwaambii na hao Wanaoendelea Kutumia muda wao mwingi Kunishupalia juu ya Kukosea Kwangu huko waache kwani tayari nimeshatoa Maelezo ya Kutosha? Acha Unafiki na usinipotezee muda kisha nikakujibu vibaya bure ukasirike sawa? Nimemaliza.
 
Mbona huwaambii na hao Wanaoendelea Kutumia muda wao mwingi Kunishupalia juu ya Kukosea Kwangu huko waache kwani tayari nimeshatoa Maelezo ya Kutosha? Acha Unafiki na usinipotezee muda kisha nikakujibu vibaya bure ukasirike sawa? Nimemaliza.
Wewe haupo sawa, kati ya mimi na wewe nani ambae ameanza ku mquote mwenzake ?

Umeona mie nimekuuliza kuhusina n hilo ? Alafu nani kakumbia mie ni msuruhishi humu ndani hadi niwaambie watu wache kukuambia kuwa umekosea ?

Usijifanye mjuaji sana kijana, kubali umetoa boko, maisha yaendelee. Ukijifanya mjuaji sana hutofika popote, kubali umekosea na urekebishe ulipo kosea sio kujidai upo sahihi kwenye kila jambo. Ndio maana nimekuambia hata Intel officer hukosea, naona unavimbaaa mashavuuu, as if watu tuna time na wewe
 
Hahaaa kwanini JF isiwe na utaratibu wa kuwaondoa member wa namna hii?
 
Nimeshalisema na Kulisisitiza hili hapa ila bado nikabishiwa tu hivyo labda Wewe kwa huu Ufafanuzi wako sasa watakuelewa Ndugu.
Kwa kuongeza nilichoambiwa na mshkaji wangu Commando ni kwamba mafunzo ya Special forces ni Syllabus kabisa ambayo hupitia na kuna mitihani

So ili uweze ku qualify kuwa Comanndo ni lazima upitie Syllabus yote ambapo it takes More than 24 months its like Degree kwenye elimu ya kawaida

Sasa basi wapo wanawake jeshini hupitia baadhi ya mafunzo ambayo hupitia Comando lakini sio yote

Mfano mwanamke anaweza fundishwa matumizi sahihi ya silaha na akawa mzuri kwenye kutumia Silaha, then akafundishwa mafunzo ya kimapigano lakini ha qualify kuwa Comando maybe hajapitia mafunzo ya Paratroopers

Mwanamke anaweza kuwa mzuri kwenye matumizi ya Silaha lakini hajapitia mafunzo ya urban werfare ha qualify kuwa Comando

So Comando sio tu matumizi ya silaha, visu, kupigana ngumi, vikwazo etc kuna mengi in between hapo
 
M...ya kwao tanga huo uzanzibar unatokea wapi?..au ule weupe unakuchanganya?
 
Ungekuwa huna time na Mimi ungepoteza muda wako Kuniandikia Mkeka wako wote huu? Pumbavu!!
 
Ungekuwa huna time na Mimi ungepoteza muda wako Kuniandikia Mkeka wako wote huu? Pumbavu!!
Kijana acha ujuaji na majivuno. Hii ni dunia, kidole kimoja hakifanyi kazi ndio maana vipo vitano. Muungwana akosolewapo hukubali, sie ni binadamu hukosea
 
Swali kubwa hapa nani yuko juu ya mwezake, swali langu kwako lingine nani anahusika na kufanya vetting ya uteuzi wa watu fulani either mkuu wa mkoa au DC nk? Anayependekeza jina kuwa huyu anafaa kwa nafasi hii ni TISS ama JWTZ?
Unaona nguvu ya TISS bs ana deal na raia directly na wanaripoti kwa 'Sponsor' directly.

JWTZ ndo wenye nchi muda wowote wanaweza mtoa aliyeko madarakani wakiona anazingua.
 
Namkubali sana huyu mwamba kumbe anaitwa Frank.bado naona wanalinda mwili wa mueshimiwa
Kiitifaki wanatakiwa wafanye hivyo Kwake kwakuwa ndiyo walikuwa assigned Kwake kama Walinzi. Hata katika Msiba wa Hayati Nyerere Walinzi wake akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Marehemu Mzee Simon Mohammed na Wengineo Wanne walifanya hivyo Kwake.

Baada tu ya Maziko ( Mazishi ) na Wao watapangiwa Majukumu mengine ya Kiidara hapo Makao au Mikoani au hata Nje kuwa attached katika Missions ( Balozi ) kwa Kazi Maaalum chini ya Mabalozi watakaowakuta huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…