Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.
LM hivi bado yuko chuoni tabora?
 
Hahaaa kwanini JF isiwe na utaratibu wa kuwaondoa member wa namna hii?
Katika post yangu#352 nimeonyesha Uungwana wangu kwa Kuwaomba Radhi Wahusika hivyo naamini na Wahusika wa JF wamenielewa pamoja na wale wenye Akili timamu na siyo Moron wa aina yako.

All - Rounder siyo wa Kwanza Kukosea hapa ( humu ) JF ndiyo maana hata hao Wahusika unaowataka ( kwa Kuwashawishi ) wamenielewa.

Mada iliyopo ni Kuhusu Walinzi wa Rais na Ukomo wao wa Kiutendaji kama pakitokea Mazingira kama haya na Kulazimisha kuhamisha Mjadala mtakavyo nyie ni sehemu ya Uthibitisho wa jinsi gani Vichwani mwenu kumejaa Funza watupu tu.

Imeisha Dua la Kuku halimpati Mwewe.
 
Akhsante kwa Elimu yako zaidi Ndugu.
 
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Nimekokea Kukukaza vizuri ukunike au?
Haya yanaonesha namna gani ulivyo mweupe kichwani. Mtu smart hata siku moja huwezi kuta anatumia lugha za matusi kwa wenzake au majivuno ya kuona anajua kila kitu na kwake hakuna kukose. Ukikua utaacha huo ujinga na kama utaendelea nazo maisha yako yatakuwa magumu sana
 
Watu humu wanajidai wana connection sana kitengoni, kumbe bureee kabisaaa πŸ˜€πŸ˜€
Kuna tatizo lolote juu ya hilo? Halafu mbona unataka Kutulazimisha sana tukujue Wewe ni TiSS Agent wakati wapo hapa ( humu ) hadi Wakuu wako na Trainers wako kule Baharini na ID's zao nazijua lakini hawashoboki hovyo na hawana huu Ulimbukeni wa Kiushoga kama ulionao na Kutuonyesha hapa? Haya sawa tumeshakujua kuwa Wewe ni Usalama wa Taifa ( TISS Agent ) je, unasemaje? Umefurahi Mimi kukupa hii Free Promo JF na sasa wanakujua na Watakuogopa?
 
Wale mlodai fulani kafa mmeumbukaje lol!
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Story za kwenye kahawa

TISS ndio wanafanya vetting zote
Swali kubwa hapa nani yuko juu ya mwezake, swali langu kwako lingine nani anahusika na kufanya vetting ya uteuzi wa watu fulani either mkuu wa mkoa au DC nk? Anayependekeza jina kuwa huyu anafaa kwa nafasi hii ni TISS ama JWTZ?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. mkuu mie sio TISS wala sijawai kuwa TISS na sipo kwenye kada yoyote ya mambo ya usalama. Naona ume panic tu kwa kuambiwa ukweli, kuwa ulitoa boko na waliokupa taarifa walikulisha tango. Simple kama hivyo, kubali kosa, songa mbele. Kukubali makosa hakukufanyi kuwa upo weak au hujui mkuu
 
Maisha yangu yatakuwa Magumu umeniumba Wewe na mpaka nilivyo sasa nakula Kwako au Umechangia lolote katika Maendeleo yangu na Ustawi wangu mzima wa Kimaisha? Pumbavu hebu nitokee hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…