Rais wa kike ana walinzi wa kike.Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Haya unayo andika ni uchungu wa maisha magumu uliyo nayo na unashindana na ukweli. Relax mkuu na ujifunze utafika, ila ukiwa mshupavu wa shingo, hutokaa utoboe.Maisha yangu yatakuwa Magumu umeniumba Wewe na mpaka nilivyo sasa nakula Kwako au Umechangia lolote katika Maendeleo yangu na Ustawi wangu mzima wa Kimaisha? Pumbavu hebu nitokee hapa!!
Muongo mkubwa wewe.Ni kweli huyo Wilfred Mwango ( wengi tumekosea kumuita Frank ) ameshafariki na Kuzikwa Wiki Moja iliyopita. Wa ndani huko Kanihakikishia na sasa nimeamini kuwa hata Boss wake Marehemu ( Hayati ) kumbe nae Corona ndiyo ime.fyeka na siyo huo Moyo na Betri yake aliyokuwa nayo.
Nimecheka sanaVimtu vikisha kaa nyuma ya keyboard vinajiona ni kila kitu, na kuwa na haki ya kusema lolote wanalo taka. Nimeshangaa sana jana watu kukomalia mwamba kavuta.
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.Muongo mkubwa wewe.
Usingecheka ningeshangaa mno tu Ndugu.Nimecheka sana
Mimi Mgeni JF popoma ina maana gani?Popoma limetoa boko la mwaka..
Kanali Mkeremi aliyekuwa ADC kwa Kikwete na mwanzoni mwa Magufuli akaja kupokelewa na huyu ADC wa sasa. Alipandishwa cheo kuwa brigedia na kupewa kikosi Tanga.Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Elimu niliyonayo hata katika Koo zako zote Mbili ukijumlisha na Wewe bado hamnifikii tu.Siku utapo amua kuelimika, hutokuwa na hizi tabia za kuonesha umwamba kwenye kutukana.
Naona Vita uliyoianzisha na kukosa Msaada kama ulivyokuwa ukitegemea inaanza Kukuelemea sasa. Pole sana na nakuonea Huruma.Haya chief umeshinda πππ
Nilitengemea yule mamanimuone kwenye timu ya samiaKuna mama mmoja commando alimlinda Jiwe alipoingia tu madarakani sijui walimpotezea wapi? Waliendana vizuri sana na Jiwe.
Vita gani tena ? Kijana jifunze kuwa na ni dhamu, umwamba wa matusi haukufanyi kuwa upo strong, ila inaonesha upo weak sana.Naona Vita uliyoianzisha na kukosa Msaada kama ulivyokuwa ukitegemea inaanza Kukuelemea sasa. Pole sana na nakuonea Huruma.
Wacha were!Hakuna komandoo mwanamke duniani
Ni kweli kabisa, sie kwetu tumeishi la nne D, hakuna alie wahi vuka hapo.Elimu niliyonayo hata katika Koo zako zote Mbili ukijumlisha na Wewe bado hamnifikii tu.
Jitahidini mvuke ili muache Upumbavu.Ni kweli kabisa, sie kwetu tumeishi la nne D, hakuna alie wahi vuka hapo.
Tena nina mpango wa Kununua TECNO nyingine.Hapo upo kana Techo kako, una vimbaaaaa mwenyewe ππππ.. na kujiona bonge la TISS
Kama elimu inafanya muwe na lugha chafu kama zako, ni bora tubaki na la nne D letu. Tumestaharibika na kiwango chetu cha elimu, maisha yetu ni mazuri yenye amani utulivu na upendo. SafiiJitahidini mvuke ili muache Upumbavu.
Ndio mafaniko yako hayo, huwezi toka hapo kuja kwenye pro 12 πππTena nina mpango wa Kununua TECNO nyingine.
HajaonekanaAtakuwa na wenzake wote St Peters na wote watamsindikiza marehemu hadi Chato.
Baada ya hapo wataambiwa kitachofuata.