Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.

Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.

Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Rais wa kike ana walinzi wa kike.
Hao wataendelea kuwa wanajeshi nahsi
 
Maisha yangu yatakuwa Magumu umeniumba Wewe na mpaka nilivyo sasa nakula Kwako au Umechangia lolote katika Maendeleo yangu na Ustawi wangu mzima wa Kimaisha? Pumbavu hebu nitokee hapa!!
Haya unayo andika ni uchungu wa maisha magumu uliyo nayo na unashindana na ukweli. Relax mkuu na ujifunze utafika, ila ukiwa mshupavu wa shingo, hutokaa utoboe.
 
Ni kweli huyo Wilfred Mwango ( wengi tumekosea kumuita Frank ) ameshafariki na Kuzikwa Wiki Moja iliyopita. Wa ndani huko Kanihakikishia na sasa nimeamini kuwa hata Boss wake Marehemu ( Hayati ) kumbe nae Corona ndiyo ime.fyeka na siyo huo Moyo na Betri yake aliyokuwa nayo.
Muongo mkubwa wewe.
 
Muongo mkubwa wewe.
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.

Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.

Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Kanali Mkeremi aliyekuwa ADC kwa Kikwete na mwanzoni mwa Magufuli akaja kupokelewa na huyu ADC wa sasa. Alipandishwa cheo kuwa brigedia na kupewa kikosi Tanga.
Kwahiyo hata hawa watapewa majukumu mazuri tu.
 
Naona Vita uliyoianzisha na kukosa Msaada kama ulivyokuwa ukitegemea inaanza Kukuelemea sasa. Pole sana na nakuonea Huruma.
Vita gani tena ? Kijana jifunze kuwa na ni dhamu, umwamba wa matusi haukufanyi kuwa upo strong, ila inaonesha upo weak sana.
 
Jitahidini mvuke ili muache Upumbavu.
Kama elimu inafanya muwe na lugha chafu kama zako, ni bora tubaki na la nne D letu. Tumestaharibika na kiwango chetu cha elimu, maisha yetu ni mazuri yenye amani utulivu na upendo. Safii

Back
Top Bottom