Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Watu kujifanya mnayajua yanayotokea kitengoni kama vile ni ma agents wakubwa wa TISS au viongozi fulani kumbe ni kamtu fulani tu kanauza kahawa karume basi akikaa nyuma ya keyboard unaweza kusema mtu fulani kumbe poyoyotu

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Tajiri huwa anajjgamba? Hapo tu unalishwa na Shemeji una Mikogo hivi je, ungekuwa na hata Tsh 30,000/= tu Benki ambayo nina uhakika huna ingekuwaje? Masikini na Mshamba mkubwa Wewe.
Ona sasa, wapi nimejivuna kuwa mie ni tajiri, zaidi ya kujivunia elimu yetu ya la nne D, na kukubali hali yetu ya maisha yenye nidhamu na hekima pamoja na adabu. Elfu 30,000 mie nitoe wapi ndugu yangu. Sie tuna mifugo tu kama sungura, njiwa na mbuzi..
 
Nimeshamuona
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zoteee
 
Humu ndani kuna kila aina ya mtu, kuna watu wanaona wakajitanabaisha kuwa wao ni TISS wanaona kama dunia yao. Anasahu TISS, JWTZ, POLICE FORCE NA MAGEREZA TANZANIA kuwa hawa ni watumishi wetu na wanatumikia na kulitumikia taifa.
 
Uliingia kanisani?

Alikaa mbele kabisa na wenzie wote.
Mwamba huwa ananikosha sana, na yule jamaa ambae ni DSO moshi kama sijakosea. Kwanza inaonekana ni watu poa sana. Humu wajinga wqchache tu wanaojidai ni vitengo walitaka kuchafua na taarifa zao za uongo
 
Poa ngoja niipitie
 
Si mpemba ni mtu wa rufiji kama sijakosea
 
Basi kama unajijua upo hivyo tuliza Kipira hicho tafadhali.
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Yule jamaa wa twitter anamtaja huyu jamaa kama Komando na amekata kamba huko Nairobi walipoenda na Mwanakwenda kupata matibabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…