jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Watu kujifanya mnayajua yanayotokea kitengoni kama vile ni ma agents wakubwa wa TISS au viongozi fulani kumbe ni kamtu fulani tu kanauza kahawa karume basi akikaa nyuma ya keyboard unaweza kusema mtu fulani kumbe poyoyotuSiku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )
R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app