Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Siku Nne ( 4 ) tu zilizopita Mtu Mmoja wa Kitengo alinidokeza kuwa huyu Alifariki ( Amefariki ) Corona tena akiwa Nairobi nchini Kenya nikawa bado mgumu Kuamini ila muda si mrefu nimehakiki mahala na Kuamini kuwa huyu Frank ( Pichani ) hatunaye tena duniani na kwamba alishazikwa Siku nyingi Kwao Mkoani Rukwa ( kama sijakosea )

R.I.P Frank ila Kifo chako kilichotokana na Corona kimenifanya sasa niamini kuwa hata Kifo cha Bosi wako uliyekuwa Ukimlinda na aliyekuwa akikuamini mno na Kukupenda sana kimetokana na Corona na hiyo Moyo ni Kutuzuga tu. Jamani tafadhali naomba tuvae Barakoa na tujilinde zaidi kwani Corona ipo. Na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Wewe vaa Barakoa tafadhali kwani hatutaki mfululizo wa Misiba kwa sasa Tanzania.
Watu kujifanya mnayajua yanayotokea kitengoni kama vile ni ma agents wakubwa wa TISS au viongozi fulani kumbe ni kamtu fulani tu kanauza kahawa karume basi akikaa nyuma ya keyboard unaweza kusema mtu fulani kumbe poyoyotu

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Tajiri huwa anajjgamba? Hapo tu unalishwa na Shemeji una Mikogo hivi je, ungekuwa na hata Tsh 30,000/= tu Benki ambayo nina uhakika huna ingekuwaje? Masikini na Mshamba mkubwa Wewe.
Ona sasa, wapi nimejivuna kuwa mie ni tajiri, zaidi ya kujivunia elimu yetu ya la nne D, na kukubali hali yetu ya maisha yenye nidhamu na hekima pamoja na adabu. Elfu 30,000 mie nitoe wapi ndugu yangu. Sie tuna mifugo tu kama sungura, njiwa na mbuzi..
 
Nimeshamuona
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
 
Tukiangalia muvi tunajifunza kuwa hao jamaa (mawakala wa usalama);

1.Wanaweza kufake kifo kumbe yu hai
2.Wanaweza kufake kuwapo kumbe alishakufa
3.Wanaweza kuangamizwa/ kuuawa kwajili ya usalama wa taifa

Kwahiyo wakisema Mshkaji kafa naamini na
Wakisema yupo hai naamini pia

Lengo la kufake ni kwamba wanakuwa na siri nyingi nzito za kiongozi/nchi kwahiyo huenda wabaya (pengine hata wazuri) wakaanza kumfuata fuata kufukunyua mambo kwahiyo ili asifuatiliwe tena ni kuaminisha watu kuwa kafa

Kuhusu hayo majina mnayopata nayo tabu hapa ni kawaida hao jamaa kuwa na (kufahamika kwa) majina mengi na hivyo kujua majina yao halisi labda wazazi na watu wake wa karibu
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zoteee
 
Watu kujifanya mnayajua yanayotokea kitengoni kama vile ni ma agents wakubwa wa TISS au viongozi fulani kumbe ni kamtu fulani tu kanauza kahawa karume basi akikaa nyuma ya keyboard unaweza kusema mtu fulani kumbe poyoyotu

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
Humu ndani kuna kila aina ya mtu, kuna watu wanaona wakajitanabaisha kuwa wao ni TISS wanaona kama dunia yao. Anasahu TISS, JWTZ, POLICE FORCE NA MAGEREZA TANZANIA kuwa hawa ni watumishi wetu na wanatumikia na kulitumikia taifa.
 
Uliingia kanisani?

Alikaa mbele kabisa na wenzie wote.
Mwamba huwa ananikosha sana, na yule jamaa ambae ni DSO moshi kama sijakosea. Kwanza inaonekana ni watu poa sana. Humu wajinga wqchache tu wanaojidai ni vitengo walitaka kuchafua na taarifa zao za uongo
 
Post yangu #352 ina Majibu yangu Kamili na imejieleza vya Kutosha na kwa mwenye Akili akiisoma atanielewa ila kwa Wapumbavu tu wataendelea Kuhangaika ( Kusumbuka ) na Mimi. Msinichoshe na msinipotezee muda tafadhali. Nasisitiza tena post yangu #352 imemaliza kila Kitu na ipo sijaifuta Kaisomeni.
Poa ngoja niipitie
 
Mi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.

Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
Si mpemba ni mtu wa rufiji kama sijakosea
 
Bado wapo na chuma
Polish_20210320_112853130.jpg
 
Ona sasa, wapi nimejivuna kuwa mie ni tajiri, zaidi ya kujivunia elimu yetu ya la nne D, na kukubali hali yetu ya maisha yenye nidhamu na hekima pamoja na adabu. Elfu 30,000 mie nitoe wapi ndugu yangu. Sie tuna mifugo tu kama sungura, njiwa na mbuzi..
Basi kama unajijua upo hivyo tuliza Kipira hicho tafadhali.
 
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Yule jamaa wa twitter anamtaja huyu jamaa kama Komando na amekata kamba huko Nairobi walipoenda na Mwanakwenda kupata matibabu!
 
Back
Top Bottom