emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Hamna kitu kama icho akishaondoka raisi team nzima pia inaondoka...nasio lazima wamakamu wasiende nae unamuona yule dada mnene anaemlinda samia alikuepo nae tangu akiwa makamu wa raisi inshort karibia walinzi wote waliokuwa wa makamu wameendelea kumlinda mpka muda huuHujui Kitu Walinzi wa Raisi ni wa Raisi na Sio Makamu so transition power inahama na Walinzi wanabaki kwenye possition zao so Wa Aliyekufa wanamfuata Mother na Wale wa Mother watamfuata atakayeteuliwa Nchimbi 😉
Bora kupumzika tu
Ila ndugu nyumbani ni nyumbani tu, huko ubalozini naona kama watakuwa wamepoteza kiasi chake.Yule mrefu ndio alikuwa presidential unit commander(puc)...hawez kubaki na mama samia tena mara nyingi team moja umrinda raisi atakapotoka uingia timu nyingine....Hawa baada ya apa wanakuwa promoted most ov them wanaenda kuwa station security officers wa balozi nje ya nchi, wanaenda kuwa mabosi kwa maana ya appreciation, promotion na kupumzika
Alikuwa PA pia; ndiyo maana akawa msemaji wa familia.Huyo mrefu ndie aliekuwa presidential unit commande(puc)r kama hujui...he was a man behind president security command
Katika hali shwari ya nchi TISS uhusika na ulinzi wa rais, katika hali isiyo eleweka mala nyingi jeshi huchukua hayo majukumu, hakuna kilichopo TISS jeshi kisiwepo na jeshini vipo zaidi na zaidiCDF hahusiki na kitengo cha kumlinda raisi Wala jeshi...ulinzi wa raisi upo chini ya mkurugenzi wa usalama wa taifa chini ya kitengo cha psu( presidential security unit).....
Ubalozini sidhani kama kuna mpungaIla ndugu nyumbani ni nyumbani tu, huko ubalozini naona kama watakuwa wamepoteza kiasi chake.
Msemaji wa familia ya rais ambaye pia alikuwa katibu wa Rais ni "Ngusa Samike" na sio huyo jamaa mweusi...Alikuwa PA pia; ndiyo maana akawa msemaji wa familia.
Wamepoteza nn unadhani ile kazi ni rahisi, ile kazi inachukua muda wako mwingi, starehe utaisikia na hata muda na familia yako utaukosa ndo maana raisi anapostafu au kutoka nao inabidi wapumzishwe..Ila ndugu nyumbani ni nyumbani tu, huko ubalozini naona kama watakuwa wamepoteza kiasi chake.
Jamaa mweusi yupi unamwongelea?Msemaji wa familia ya rais ambaye pia alikuwa katibu wa Rais "Ngusa Samike" sio huyo jamaa mweusi...
Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....Alikuwa PA pia; ndiyo maana akawa msemaji wa familia.
Upo sahihi ila kisheria na kwa mujibu TISS wanamajukumu yakulinda viongozi wakuu wa nchi( Tanzania security service Act 1996).Katika hali shwari ya nchi TISS uhusika na ulinzi wa rais, katika hali isiyo eleweka mala nyingi jeshi huchukua hayo majukumu, hakuna kilichopo TISS jeshi kisiwepo na jeshini vipo zaidi na zaidi
✅✅✅Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....
Ni sahihi kabisa.Upo sahihi ila kisheria na kwa mujibu TISS wanamajukumu yakulinda viongozi wakuu wa nchi( Tanzania security service Act 1996).
Nilimuambia jamaa awe muungwana kwa kusema amekosea. Ila akashupaza shingo, acha wamnyoosheAll - Rounder pole sana mkuu, naona makombora ya kufa mtu yanakuchapa toka kila kona, 😁!.
Fatilia kwene misafara likitoka gari ya raisi gari linalofata(escort 1) anakaa siti ya mbele yy huwa haruki harakaharaka kwene gari hushuka mpaka la raisi lisimame nae hushuka, anakuwa anatembea nyuma baada ya mpambe na mlinzi, mara nyingi anakuwa anaongea na mic ya mkononiJamaa mweusi yupi unamwongelea?
Kwenye picha niliyoi-quote nilikuwa namzungumzia huyu! Angalia picha niliyoi-quote. Labda kama nimechanganya sura.Haha msemaji wa familia ni mh samike ambaye alikuwa pia ndio PA, samike hajawai kuwa PSU before hapo alikuwa akikaimu kama PA....tunaemsema ni yule mrefu anavaa miwani miesu anakuwa always anaongea na mic ya mkononi na kuwapanga walinzi wa raisi.....
Yes huyu ndo samike ndo alikuwa mnikulu wa ikulu au kwa lugha ya kawaida katibu wa raisiKwenye picha niliyoi-quote nilikuwa namzungumzia huyu! Angalia picha niliyoi-quote. Labda kama nimechanganya sura.
View attachment 1731887
Huyu ndiye niliyekuwa namjibu yule bwana aliyesema walinzi wa Rais. Nami nikamwambia hapo hakuna mlinzi.Yes huyu ndo samike ndo alikuwa mnikulu wa ikulu au kwa lugha ya kawaida katibu wa raisi
Umechenganya picha kwene ile picha uliyomjibu jamaa...ni mpambe wa raisi na presidential unit commander(puc) na sio PA umechanganga pic mkuuHuyu ndiye niliyekuwa namjibu yule bwana aliyesema walinzi wa Rais. Nami nikamwambia hapo hakuna mlinzi.