Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Sidhani kama wanapoteza mkuu, Ila wengi wanatamani iwe hivyo ili mtaani tusote wote.
hahahaah okay sasa nimeelewa.
Roho mbaya zetu, wanatamani hata kufa wangekufa na mheshimiwa.......
 
Kuna mama mmoja commando alimlinda Jiwe alipoingia tu madarakani sijui walimpotezea wapi? Waliendana vizuri sana na Jiwe.
Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.
 
Ni mtoto wa Mzena huyo, Mzena ndo mkurugenzi usalama wa Taifa wa kwanza baada ya uhuru.
Na amepewa hiyo Heshima kwakuwa ndiyo aliifanyia makubwa Idara Kipindi hicho ikiwa ndani ( sehemu / kitengo ) Cha Polisi kabla hawajajitegemea kama ilivyo hivi sasa ( leo )

Pia ndiyo Mkurugenzi Muungwana, Mkarimu, Mchapakazi na mwenye Roho nzuri ambayo ilimfanya apendwe sana na Watendaji wake.

Waliojaribu pia Kuvaa vyema Viatu vyake ni Wakurugenzi kama Mzee Hassy Kitine na Colonel Apson, ila ambao sijawataja hapa japo walikuwa ni Wakurugenzi wa Idara si tu kwamba walipwaya bali waliharibu sana tu Kiutendaji.
 

Mke wake ni Mkuu wa Wilaya kigamboni, hawawezi kufa njaa hata akiludishwa PSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…