Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Walinzi wa raisi sio wanajeshi,wale ni TISS idara ya PSUKwani huwa anawatoa wapi Mimi nafikili jeshini na baada ya hapo wanaludi jeshini au ikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walinzi wa raisi sio wanajeshi,wale ni TISS idara ya PSUKwani huwa anawatoa wapi Mimi nafikili jeshini na baada ya hapo wanaludi jeshini au ikoje?
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
fala alikua mbayaaaaaaa kiufupi alizeeka kabla kama mpoki enzi zile anaigiza na akina dkt cheni , sasahivi alikua kama simtank na ka weupe kakaingia, duh kweli kiyoyozi raha, hata mzee baba mwenyewe alikua mweusiiiiii hahahaaaaa ila yamekwisha wapishe wengine
hahahaah okay sasa nimeelewa.Sidhani kama wanapoteza mkuu, Ila wengi wanatamani iwe hivyo ili mtaani tusote wote.
Acha Uwongo Ndugu Mama ambaye Kimaadili sitomtaja Jina lake japo initials zake ni LM ( unayemzungumzia hapa ) hakuwa Commando ( Kikosi Maalum ) kama ujuavyo au mjuavyo ila alikuwa ameiva tu Mafunzo ya VIP Protection chini cha PSU ndani ya TISS.Kuna mama mmoja commando alimlinda Jiwe alipoingia tu madarakani sijui walimpotezea wapi? Waliendana vizuri sana na Jiwe.
Iliyochemka vyema tayari kwenu Kuinywa.namba nne chai
Kwa hizo Hirizi zako unazozifuga au Ndugu?Mtu pekee anaeweza kumkalisha marehemu bruce lee ni mimi tu
Na alikuwa penetrated pale Mwanza Police.Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Dogo nimekulia thailand, nimeanza kupigana toka wewe upo kwenye via vya uzazi vya wazazi wako huko kwenu RwandaKwa hizo Hirizi zako unazozifuga au Ndugu?
Uko sahihi Ndugu na Ngerengere pia panahusika japo hata hizo sehemu mbili nilizozitaja pia wengine hutokea huko kulingana na Majukumu yao tofauti tofauti.Sio Ngerengere tena?
Mishen ipi kamanda,Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Unauliza Mavuzi sehemu za Siri Ndugu?Unamaanisha Manjaro au.
Na amepewa hiyo Heshima kwakuwa ndiyo aliifanyia makubwa Idara Kipindi hicho ikiwa ndani ( sehemu / kitengo ) Cha Polisi kabla hawajajitegemea kama ilivyo hivi sasa ( leo )Ni mtoto wa Mzena huyo, Mzena ndo mkurugenzi usalama wa Taifa wa kwanza baada ya uhuru.
Ya Rwanda hapa yamekujaje? Unawashwa?Dogo nimekulia thailand, nimeanza kupigana toka wewe upo kwenye via vya uzazi vya wazazi wako huko kwenu Rwanda
Acha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?Walinzi wa raisi sio wanajeshi,wale ni TISS idara ya PSU
Acha mbwembwe mkuu.Mtu pekee anaeweza kumkalisha marehemu bruce lee ni mimi tu
Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.