Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Yule mwenye sigda anakunja sura mwanzo mwisho[emoji1]
 
Nasikia anatakiwa awe na uwezo wa kuiwahi risasi kabla haijamfikia Boss wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole saana aliyekuambia hivyo alikudharau saana ulivyomuamini
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
 
Kwani nchi imepinduliwa , acha wivu tafuta pesa wale watakula mema ya nchi mpaka wastaafu au ccm itoke madarakani
 
Watz wana Roho mbaya, wanataka kuona watu wengine wanateseka, hio ni akili mbaya sana, Tamani maisha mazuri ya watu na ujifunze ili na wewe upate maisha mazuri, wote wakiwa masikini utajifunza kwa nani?
Ni vizuri kama mngetamani siku moja mpate kuwa walinzi wa viongozi, au viongozi wakuu ili mfanye kazi kubwa, mpate maendeleo kama USA, Uk au Europe
 
Sio mpemba Ni mndengereko wa rufiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…