Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Ni kanaliMbona mpambe wa raisi wa zanzibari anacheo cha luteni kanal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kanaliMbona mpambe wa raisi wa zanzibari anacheo cha luteni kanal
Yule mwenye sigda anakunja sura mwanzo mwisho[emoji1]Mi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.
Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
Huna sababu ya kutukana, nikosoe kwa kuweka usahihi inatosha sana.Acha uongo wewe fala. NI TISS wa muda mrefu sana huyo.
Huwezi kuwa komando milele ukiendekeza supu na chapatiNyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Mnajua yule ni commando?
Mkuu alimsaidia nini mkuu?? Kama hutojali naomba utwambie au hata pm mkuuAliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike data
Nasikia anatakiwa awe na uwezo wa kuiwahi risasi kabla haijamfikia Boss wake.Ana sifa zifuatazo:
1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia
Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Wale watembea na mabegi.....Wale wanyarwanda wanarejea kwao.
Kazi waliyotumwa imeshaota mbawa.
Hatuwahitaji tena, aliyewaajiri ameshakufa.
Huyo jamaa alikuwa askari polisi, kuna mishe alimsaidia Magu kwenye hard time otherwise Magu angekata kamba siku hiyo, baada ya hapo Magu akamuamini na kwenda nae white house.
Mkuu alimsaidia nini mkuu?? Kama hutojali naomba utwambie au hata pm mkuu
Bweni la wapi mkuu?Huyo jamaa alikuwa wa kwanza kukimbia Joseph Mashindano alipotembeza kipigo bwenini ujasiri umekuja ukubwani.RIP Mashindano.
Si useme tu Israel taifa teule.
Mm piaaa aise uyu mwamba ntammis san dadek
Na yule mwanamama Rais wa Crotia?Hakuna komandoo mwanamke duniani
Duuuh.....Ingetakiwa katiba ibadilishwe iwe kama ancient Egypt Rais Akifa lazima na walinzi wake wote Wafe ili waendelee kumlinda after life.
Bruce lee wa kawaida sana, movies zisikuchanganye.Namba 4...peleka masihara yako hukoo, Bruce lee hakuwa wa kawaida...[emoji848]
Kwani nchi imepinduliwa , acha wivu tafuta pesa wale watakula mema ya nchi mpaka wastaafu au ccm itoke madarakaniWale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Sio mpemba Ni mndengereko wa rufijiMi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.
Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
Huyo ana uwezo hata wa Kuimeza Risasi yenyewe.Nasikia anatakiwa awe na uwezo wa kuiwahi risasi kabla haijamfikia Boss wake.
Upo sahihi anaitwa AGUSTINO MASESEAliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike data