MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #141
Na wote pia ni part and parcel wa TISS.Mke wake ni Mkuu wa Wilaya kigamboni, hawawezi kufa njaa hata akiludishwa PSU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wote pia ni part and parcel wa TISS.Mke wake ni Mkuu wa Wilaya kigamboni, hawawezi kufa njaa hata akiludishwa PSU
😂😂😂 wale wanaweza kustaafu au wakapewa majukumu mengine na watalipwa mishahara na huduma nyingine bure maisha yao yote...Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Yule siyo mpemba kwao ni mafia/rufiji siku moja Jiwe alimtambulisha barabarani. Alikuwa anapata wakati mgumu na shida sana wakati wa mfungo kwasababu wakati huo mara nyingi ziara za Jiwe zilikuwa sokoni.Mi nitammisi yule jamaa mrefu mweusi ambaye mara nyingi kwenye matukio ya Rais akiwa kwenye watu wengi daima yeye huvaa miwani meusi huku akiwa anaongea na mic ya mkononi.
Afu yule mlinzi mwingine mpemba mwenye sigda, najua anaweza akabaki na Mama Samia kwakuwa wote ni wa njia moja.
Unamaanisha sara msafiri?Mke wake ni Mkuu wa Wilaya kigamboni, hawawezi kufa njaa hata akiludishwa PSU
Kuna watu wanafikiri mtu akitoka kwenye nafasi anarudi kupigika kifukara pamoja nao mitaaniYule mpambe arudi kambini.
Samia ana mpambe wake wa Kike.
Wengine waje huku mtaani waje tujumuike kwenye kujiajiri!
You're just a typical Wanted Sperm.sijui umeandika nin yaan, kuna watu humu mnatafutaga likes kwa nguvu tuu. sas kwa ujinga wako unazan inakula kwao kivip sasa ?????
Si useme tu Israel taifa teule.Tena nimedokezwa hivi sasa anakuja na best cream ya Vijana wa CDF Mabeyo kutoka pale Sangasanga ( Kizuka ) Mkoani Morogoro ila wamepata Mafunzo ya kisasa kabisa kutoka nchi zilizoiva Kimedani na Kijasusi pia.
Sio suala la kuweza ni suala la ujinsiaWale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Endapo wakirudi mtaani, hawatapigika wale wenye mitazamo mizuri tu. Kumbuka sio wote wenye mitazamo mizuriKuna watu wanafikiri mtu akitoka kwenye nafasi anarudi kupigika kifukara pamoja nao mitaani
Unauliza Lawama na Majungu Yanga SC?Unamaanisha sara msafiri?
Kwa allowances zote zile akisota mtaani itakuwa kitukoSidhani kama wanapoteza mkuu, Ila wengi wanatamani iwe hivyo ili mtaani tusote wote.
Si ndie waziri wa afya sasa hiviKuna mama mmoja commando alimlinda Jiwe alipoingia tu madarakani sijui walimpotezea wapi? Waliendana vizuri sana na Jiwe.
Anapandishwa tu kama hana cheo hichoMpambe wa rais ni lazima awe kanali, sidhani kama
mpambe wa mama samia anacheo hicho
Wale wapo mpaka ukamilifu wa dahariYale majamaa ma soldiers yenye combat sijui za nchi gani nitayamiss sana
Ndio maana hata mkuu wa itifaki ikulu ni JWTZAcha Uwongo hakuna Mtu wa PSU ambaye hakutokea JWTZ. au hujui kuwa PSU na TISS yao wapo chini ya JWTZ Kiutendaji na Kiitifaki?
Ni wakati hule wa mkapa akiwa waziri akiongoza kampen ya kubomoa nyumba za watu kwaajili ya upanuz wa barabara msela flan akamrushia Jiwe Jiwe mwamba akaruka mbele ya Jiwe ili Jiwe lisimpate Jiwe na likampata usoni mwake.Ongeza nyama mkuu tujifunze,alimsaidia wapi hayati?
Before and after,Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
Nimeyaona leo bado yapoYale majamaa ma soldiers yenye combat sijui za nchi gani nitayamiss sana