Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Jul 15, 2020 #41 Kigambon mkuu Kambi ya Fisi said: Kashachukua form anagombea Kawe Click to expand...
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Jul 15, 2020 #42 Sky Eclat said: Si Madume yote ni rizki Click to expand... Sio rizki tutawapa kama makapi huko CDM
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Jul 15, 2020 #43 devijoy said: RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable. Click to expand... Hao wote ni wasukuma na wanaruhusiwa bila kutumbuliwa ila sio mtu mwingine. Ndipo tulipofikia nchi hii sasa, nyie endeleeni kumpigia jiwe makofi wakati yeye anawapiga makofi.
devijoy said: RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable. Click to expand... Hao wote ni wasukuma na wanaruhusiwa bila kutumbuliwa ila sio mtu mwingine. Ndipo tulipofikia nchi hii sasa, nyie endeleeni kumpigia jiwe makofi wakati yeye anawapiga makofi.
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Jul 15, 2020 #44 devijoy said: RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable. Click to expand... Asumpta alistaafu kwanza. Huyo mama akipita nitajua Nkenge kuna shida. Hata mbunge wa sasa wa hilo jimbo hafai.
devijoy said: RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable. Click to expand... Asumpta alistaafu kwanza. Huyo mama akipita nitajua Nkenge kuna shida. Hata mbunge wa sasa wa hilo jimbo hafai.
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Jul 15, 2020 #45 Bruno Toto said: Asumta hajawahi kuwa RC Maisha yake yote, usiyoyajua kaa kimya, alikua mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Alishastaafu kitambo Click to expand... Kastaafu juzi tu
Bruno Toto said: Asumta hajawahi kuwa RC Maisha yake yote, usiyoyajua kaa kimya, alikua mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Alishastaafu kitambo Click to expand... Kastaafu juzi tu