Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kigambon mkuu
Kashachukua form anagombea Kawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashachukua form anagombea Kawe
Sio rizki tutawapa kama makapi huko CDMSi Madume yote ni rizki
Hao wote ni wasukuma na wanaruhusiwa bila kutumbuliwa ila sio mtu mwingine. Ndipo tulipofikia nchi hii sasa, nyie endeleeni kumpigia jiwe makofi wakati yeye anawapiga makofi.RC Makonda achukua fomu Kigamboni
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.
Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini
Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.
Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
Asumpta alistaafu kwanza.RC Makonda achukua fomu Kigamboni
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.
Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini
Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.
Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
Kastaafu juzi tuAsumta hajawahi kuwa RC Maisha yake yote, usiyoyajua kaa kimya, alikua mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Alishastaafu kitambo