Uchaguzi 2020 Je, waliotia nia CCM huku wakiwa wateule wa Rais Magufuli kutumbuliwa. Au waliomba ruhusa kama Rais alivyotaka?

Uchaguzi 2020 Je, waliotia nia CCM huku wakiwa wateule wa Rais Magufuli kutumbuliwa. Au waliomba ruhusa kama Rais alivyotaka?

RC Makonda achukua fomu Kigamboni

Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.

Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini

Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.

Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
Hao wote ni wasukuma na wanaruhusiwa bila kutumbuliwa ila sio mtu mwingine. Ndipo tulipofikia nchi hii sasa, nyie endeleeni kumpigia jiwe makofi wakati yeye anawapiga makofi.
 
RC Makonda achukua fomu Kigamboni

Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.

Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini

Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.

Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
Asumpta alistaafu kwanza.
Huyo mama akipita nitajua Nkenge kuna shida.

Hata mbunge wa sasa wa hilo jimbo hafai.
 
Back
Top Bottom