GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
kwahiyo injinia ndiyo kikwazo cha simba kufaya vizuri...NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC
"Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule.
Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu anaitwa Bhoka ana balaa zito sana na yule watu watamfaidi kwenye viwanja vikubwa ndo watamjua vizuri Bhoka" Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga.
Chanzo: SR Sports TZ
Kama anadiriki kabisa kusema aliongea na Chama alishindwa kumwambia Manula, Kapombe na Inonga watuumize?
NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC

Unauliza Kirusi Maabara?kwahiyo injinia ndiyo kikwazo cha simba kufaya vizuri...
Walichokuwa wakifanya ndicho hicho alichokisema hapo, wao wanaongea na Chama, kisha Chama anamaliza kwa wale wenzie wanne.NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC
"Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule.
Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu anaitwa Bhoka ana balaa zito sana na yule watu watamfaidi kwenye viwanja vikubwa ndo watamjua vizuri Bhoka" Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga.
Chanzo: SR Sports TZ
Kama anadiriki kabisa kusema aliongea na Chama alishindwa kumwambia Manula, Kapombe na Inonga watuumize?
wape mbinu makolo wenzio wafanyeje juu ya huyu msomali mtu mbadUnauliza Kirusi Maabara?
Nani kama Mangungu Wa Msowero?Mwenyekiti mangungu tatizo
Na bado tu tunamlea Klabuni ili aendelee Kutumika na Kutuumiza na anayemtumia amuombee Cheo Serikalini 2025.Mwenyekiti mangungu tatizo
Umeanza lini kushiriki kwenye hayo malezi ya kumlea Mwenyekiti wako Mangungu? Umesahau kama uliwahi kumpa siku 14 za kumtaka kuondoka kwenye kiti chake? Bado hazijaisha tu!!Na bado tu tunamlea Klabuni ili aendelee Kutumika na Kutuumiza na anayemtumia amuombee Cheo Serikalini 2025.
Umemaliza kila Kitu Mkuu, heko.Walichokuwa wakifanya ndicho hicho alichokisema hapo, wao wanaongea na Chama, kisha Chama anamaliza kwa wale wenzie wanne.
Ova
Nilimuongezea Siku zingine 365 je, zimeisha?Umeanza lini kushiriki kwenye hayo malezi ya kumlea Mwenyekiti wako Mangungu? Umesahau kama uliwahi kumpa siku 14 za kumtaka kuondoka kwenye kiti chake? Bado hazijaisha tu!!
Labda ungemtaja mwingine, ila Try Again siyo mtu wa hizo kazi kabisa.Huu mchezo aliuanza try again kwa kina bangala na shaban juma,so vumilieni tu