Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #201
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIACHADEMA ni watu wabaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIACHADEMA ni watu wabaya sana
Demokrasia ya nchi zetu ilianzishwa ili kujipatia pesa kutoka kwa wahisani Kama ilivyokuwa kupata pesa za wahisani kwa njia ya kuweka watu lockdown kipindi Cha korona.
Huwa nawashangaa watu wanashabikia kwa kufuata mkumbo tangu nilivyogundua kuwa democracy ni fursa kwa watu Sina ushabiki wa kijinga kwenye masuala ya vyma vya siasa.
Tanzania hakuna Korona mkuuNaongezea ".....kama Corona"
Wanabadilika baadhi ila wapo ambao bado wana misimamo yaoWanabadilika ghafla kama vinyonga
Sawa mkuuCHADEMA ndio waliotaka kuingia na kuitafuna hii nchi
Changamka kijana umekaa kinyonge sanaSawa mkuu
Rais Museveni alipokuwa na miaka 3 ofisini alisema; "Matatizo ya Afrika ni marais kuktawala muda mrefu bila kungatuka". Alipigiwa makofi sana! Leo hii mwenyewe anaikana kauli yake kwa vitendo.Nchi nyingi Africa wana siasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
JPM ana masimamo dhabiti amesema muda ukifika wa miaka 10 anaondoka bila tatizo loloteWanabadilika baadhi ila wapo ambao bado wana misimamo yao
Hakika Mungu ni mwemaTanzania hakuna Korona mkuu
Ukioma mtu kama GKado ameamua kuaa kimya ujue hiyo ngoma ni ngumu kamandaGKado umeulizwa huku mzee baba
Kabla ya demokrasia Afrika ilikuwa bara giza kulingana na maelezo ya wazunguKabla ya demokrasia tulikuwa na mfumo gani wa utawala?
Badala ya demokrasia ungependa tuwe na mfumo gani wa utawala?
Mzee wetu Maalim Seif
Ujumbe poa sana huu Soja wanguENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA
Wahuni tu hao CHADEMACHADEMA watakuja kukutukana shauri yako
Wanabadilika kwa sababu walikuwa wana njaa ila sasa wana pesa. Wanasiasa waroho kama wale wa CHADEMA ni hatari sana kwa afya ya taifa.Wanabadilika ghafla kama vinyonga
Hao jamaa wa ufipa ni vibaraka wa mabeberuCHADEMA ndio waliotaka kuingia na kuitafuna hii nchi
CHADEMA walianza kutumiwa na wazungu tangia mwaka 2005Hao jamaa wa ufipa ni vibaraka wa mabeberu
Vijana wa CHADEMA sio wa kuwapa nchi hiiWanabadilika kwa sababu walikuwa wana njaa ila sasa wana pesa. Wanasiasa waroho kama wale wa CHADEMA ni hatari sana kwa afya ya taifa.