Je, wananchi wanaimani kubwa na vyombo vya dola kama alivyo onyesha Rais?

Imani ya Wananchi kwa Vyombo vya Dola imeshuka sana mpaka pale Watekaji na Wauaji watakapokamatwa na kupandishwa Kizimbani.
 
Hivi jamii forum si kuna option ya kupiga kura kwanini usifanye survey kujua
 
nje ya mada: wasukuma pombe na cdf mabeyo ndio wametuletea huyu jambawazi mwanamke katili.
 
Tukio la Mwanza limemuuma sana mama. Amechukizwa na Wananchi walivyozuia watekaji wasitimize uhalifu wao.
Ukitaka kumjua mwenye mbwa muue mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…