Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbafuuuu, story ya upande wa pili ya kazi gani.Tungesikia story ya upande wa pili tungekujua nani mwenye tatizo.
JiaminiSio kipato tu hatutaki mwanamke atuzidi
-umri
-urefu
-akili
-nguvu
Vipi kwani ww ndio huyo dada au may be una ID mbili...... halafu umesikia wewe K..MA usizani si wengine hatujui kutukana ila hii platform ya JF tuna iheshimu.Pumbafuuuu, story ya upande wa pili ya kazi gani.
Sio kuogopa bali ni ukweli uliopo katika situation za ivo. Huwa inadaiwa kua inawezekana wakaishi vizuri lkn huwa ni pale mwanzo tu mwisho wa siku wanawake wanasahau nafasi ya mwanaume na mwanaume yoyote asipotumia opportunity mwanamke kuwa na uwezo kuliko yeye kufanya kazi vizuri na vizuri kiuchumi zaidi ya huyo mwanamke wake basi ni hola hakuna kinachowezekana. Mwanaume sikuzote lazma amzidi mwanamke otherwise majanga lazma yatokee. Kwaio solution ni either atafute wa level zake au akiwa chini yake huyo man lazima awe na akili ya kutumia fursa ya uwezo alionao uyo mwanamke kufanya maendeleo zaidi ya aliomkuta nayo na asisahau alipotoka na ampende kiukwel uyo lady. masela wengi pakutokea ndio Chenga ila heshima anaitaka tatizo wanawake wachache wanaoweza kuonesha kwa dhati io heshima inayohitajika kwenye hali ya hivyo.Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo yangu mbali mbali niliyojiwekea. Nimefanya kazi sehemu kadhaa nikapata nafasi ya kwenda nje kujiendeleza kielimu. Baada ya kurudi Mungu hamtupi mja wake nimepata kazi nzuri nikafanikiwa kuanza ujenzi na sipo sehemu mbaya nikijaliwa mwisho wa mwaka nahamia kwangu.
Niwe tu mkweli mimi ni mchakarikaji haswa , sio wale wadada wanaopata vitu kwa kwa kutegemea wanaume hapa nilipo ni bidii yangu na support ya wazazi. Sasa katika maisha ya kazi nilibahatika kukutana na kaka ambaye katika kuzoeana tulianzisha mahusiano ambayo kwa namna moja yalikua serious ( ama ndivyo nilivyoyatafsiri) tulikua huru na wazi na baadhi ya nduguze walinifahamu.
Huyu kaka baadae katika ukaribu wetu alijua kwamba nimejenga na nina kabiashara kangu kaongeza kipato japo sikua najivuna lakini alianza kuonyesha inferiority na ikawa chanzo cha ugomvi. Nikisafiri kikazi alikua muda wote anapiga video call na voic call nikajua mahaba kumbe alikua na wivu na vitu kama hivyo mwishowe tulishindwana maana ikitokea kupishana anasema unaringa sababu una gari, umejenga etc kwa hiyo nikagundua hajiamini na anawivu hata usiopaswa ( kuna wakati alisema niache kazi kwasababu nasafiri sana) kitu ambacho kilipelekea mimi kukosa furaha na hatimae nikaumaliza mwendo.
Juzi tu nimekaa na rafiki yangu wa karibu ambae ni single mom wa baby girl mmoja mume alifariki mapema mno ila ni mpambanaji haswa na kwao wanamsupport sana kwa hiyo mambo yake si haba ana kazi nzuri, ana kwake , usafiri na mwanae anaishi nae vizuri sasa katika kufuta upweke akakutana na mkaka wakaanza mahusiano.
Miezi michache mbele mkaka akamwambia dada najiskia vibaya kuwa na mwanamke alienizidi anajiona ha-fit kwa huyu dada ( yani sio wa level zake) na anaona kama dada atamuacha afate wa size yake. Ninavyomfahamu rafiki yangu yuko humble sana na ana aibu yani sio mdada wa mjini .
Ameumia kuachika kisa tu mwanaume anahisi hawaendani vipato ( Mwanaume ni mwajiriwa private) , ni wiki inakata mwanaume kakata mawasiliano.
Ina maana siku hizi wanaume wanaogopa kukuta mwanamke ana kila kitu? Wanaona watadharaulika ama wanaona watachitiwa? Karibuni tujadili kwa lugha ya staha na heshima.
Ikiwezekana ushauri utolewe nini kifanyike kwa dada anaejikuta katika situation ii na vijana wafanyaje ili wasihisi hawana nafasi kwa wadada waliowazidi status.
Tatizo vijana tuogopa mfano mmekorofishana utakuta mwanamke anataka maneno ambayo mwanaume yatabakia moyon yaki muhumiza mfano Mwanaume anaishi kwenye Nyumba ya mwanamke wako na anatumia gar la mwanamke wake sasa siku mmekorofisha mwanamke akikasirika anajikuta anaropoka Tu, Kwanza Nyumba nimejenga mimi gar nimenunua Mimi, Kama vip niache na maisha yangu Mimi umenikuta najitegemea Mimi sina shida, Kwa maneno kama haya lazima mwaume hukose furah maisha yko yote kama ataendelea kukaa hapo Kwa mwanamke.Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo yangu mbali mbali niliyojiwekea. Nimefanya kazi sehemu kadhaa nikapata nafasi ya kwenda nje kujiendeleza kielimu. Baada ya kurudi Mungu hamtupi mja wake nimepata kazi nzuri nikafanikiwa kuanza ujenzi na sipo sehemu mbaya nikijaliwa mwisho wa mwaka nahamia kwangu.
Niwe tu mkweli mimi ni mchakarikaji haswa , sio wale wadada wanaopata vitu kwa kwa kutegemea wanaume hapa nilipo ni bidii yangu na support ya wazazi. Sasa katika maisha ya kazi nilibahatika kukutana na kaka ambaye katika kuzoeana tulianzisha mahusiano ambayo kwa namna moja yalikua serious ( ama ndivyo nilivyoyatafsiri) tulikua huru na wazi na baadhi ya nduguze walinifahamu.
Huyu kaka baadae katika ukaribu wetu alijua kwamba nimejenga na nina kabiashara kangu kaongeza kipato japo sikua najivuna lakini alianza kuonyesha inferiority na ikawa chanzo cha ugomvi. Nikisafiri kikazi alikua muda wote anapiga video call na voic call nikajua mahaba kumbe alikua na wivu na vitu kama hivyo mwishowe tulishindwana maana ikitokea kupishana anasema unaringa sababu una gari, umejenga etc kwa hiyo nikagundua hajiamini na anawivu hata usiopaswa ( kuna wakati alisema niache kazi kwasababu nasafiri sana) kitu ambacho kilipelekea mimi kukosa furaha na hatimae nikaumaliza mwendo.
Juzi tu nimekaa na rafiki yangu wa karibu ambae ni single mom wa baby girl mmoja mume alifariki mapema mno ila ni mpambanaji haswa na kwao wanamsupport sana kwa hiyo mambo yake si haba ana kazi nzuri, ana kwake , usafiri na mwanae anaishi nae vizuri sasa katika kufuta upweke akakutana na mkaka wakaanza mahusiano.
Miezi michache mbele mkaka akamwambia dada najiskia vibaya kuwa na mwanamke alienizidi anajiona ha-fit kwa huyu dada ( yani sio wa level zake) na anaona kama dada atamuacha afate wa size yake. Ninavyomfahamu rafiki yangu yuko humble sana na ana aibu yani sio mdada wa mjini .
Ameumia kuachika kisa tu mwanaume anahisi hawaendani vipato ( Mwanaume ni mwajiriwa private) , ni wiki inakata mwanaume kakata mawasiliano.
Ina maana siku hizi wanaume wanaogopa kukuta mwanamke ana kila kitu? Wanaona watadharaulika ama wanaona watachitiwa? Karibuni tujadili kwa lugha ya staha na heshima.
Ikiwezekana ushauri utolewe nini kifanyike kwa dada anaejikuta katika situation ii na vijana wafanyaje ili wasihisi hawana nafasi kwa wadada waliowazidi status.
Ha ha ha huyo Mzee huwa anakusimulia?Ukisema status unamaanisha Nini
Kumiliki nyumba na gari ndo status au?
Mtu mpambanaji anayejitambua hawezi kumuogopa Mwanamke wa aina yoyote hata angekuwa Rais
Siku zote Mwanamke Ni Mwanamke tu Ushamba wa Maisha unawasumbua Sana
Mfano Mwanaume anaweza kuwa Hela kibao Majumba na Magari lakini huwez muona anamtukana Mke wake ila sasa kwa Wanawake Kwao kawaida Sana
Hapa napokaa Kuna Mama kapata hela za ukubwani lakin jinsi anavyomtuma Mme wake huku Na kule mpaka Aibu.mara amwambie aoshe Vyombo mara hivi yaani full drama
Mwanamke kuwa na hivyo hakumfanyi kuheshimika na jamiiSocial status nilimaanisha "vyote vinavyomfanya mwanamke aheshimike mbele ya jamii ikiwemo pesa,ajira,cheo n.k"
Is my neighborHa ha ha huyo Mzee huwa anakusimulia?
Hata kama mwanamke kakuzidi hela,jitahidi uwe smart upstairs.Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo yangu mbali mbali niliyojiwekea. Nimefanya kazi sehemu kadhaa nikapata nafasi ya kwenda nje kujiendeleza kielimu. Baada ya kurudi Mungu hamtupi mja wake nimepata kazi nzuri nikafanikiwa kuanza ujenzi na sipo sehemu mbaya nikijaliwa mwisho wa mwaka nahamia kwangu.
Niwe tu mkweli mimi ni mchakarikaji haswa , sio wale wadada wanaopata vitu kwa kwa kutegemea wanaume hapa nilipo ni bidii yangu na support ya wazazi. Sasa katika maisha ya kazi nilibahatika kukutana na kaka ambaye katika kuzoeana tulianzisha mahusiano ambayo kwa namna moja yalikua serious ( ama ndivyo nilivyoyatafsiri) tulikua huru na wazi na baadhi ya nduguze walinifahamu.
Huyu kaka baadae katika ukaribu wetu alijua kwamba nimejenga na nina kabiashara kangu kaongeza kipato japo sikua najivuna lakini alianza kuonyesha inferiority na ikawa chanzo cha ugomvi. Nikisafiri kikazi alikua muda wote anapiga video call na voic call nikajua mahaba kumbe alikua na wivu na vitu kama hivyo mwishowe tulishindwana maana ikitokea kupishana anasema unaringa sababu una gari, umejenga etc kwa hiyo nikagundua hajiamini na anawivu hata usiopaswa ( kuna wakati alisema niache kazi kwasababu nasafiri sana) kitu ambacho kilipelekea mimi kukosa furaha na hatimae nikaumaliza mwendo.
Juzi tu nimekaa na rafiki yangu wa karibu ambae ni single mom wa baby girl mmoja mume alifariki mapema mno ila ni mpambanaji haswa na kwao wanamsupport sana kwa hiyo mambo yake si haba ana kazi nzuri, ana kwake , usafiri na mwanae anaishi nae vizuri sasa katika kufuta upweke akakutana na mkaka wakaanza mahusiano.
Miezi michache mbele mkaka akamwambia dada najiskia vibaya kuwa na mwanamke alienizidi anajiona ha-fit kwa huyu dada ( yani sio wa level zake) na anaona kama dada atamuacha afate wa size yake. Ninavyomfahamu rafiki yangu yuko humble sana na ana aibu yani sio mdada wa mjini .
Ameumia kuachika kisa tu mwanaume anahisi hawaendani vipato ( Mwanaume ni mwajiriwa private) , ni wiki inakata mwanaume kakata mawasiliano.
Ina maana siku hizi wanaume wanaogopa kukuta mwanamke ana kila kitu? Wanaona watadharaulika ama wanaona watachitiwa? Karibuni tujadili kwa lugha ya staha na heshima.
Ikiwezekana ushauri utolewe nini kifanyike kwa dada anaejikuta katika situation ii na vijana wafanyaje ili wasihisi hawana nafasi kwa wadada waliowazidi status.
Asanteni wote kwa mawazo yenu mazuri nasoma na nina ji assess nakujifunza pia mtazamo wa kina kaka zetu . Uzuri wa JF mtu anakuja na ID fake ili aweze kuji express kwa uzuri kabisa na uwazi ili kupata honest opinion za wadau mimi ni mtaratibu sana na niko submisive sana tu. Ila imagine mwanaume hana usafiri mimi ninao na sikua mchoyo siku ambazo situmii namwambia kabisa anakuja anatumia apendavyo ikafika kipindi ananiambia kwasababu wewe ni mwanamke niachie gari niwe nakufuata mimi nakuku drop kazini ......anyway nikamwambia kwanini tusijiwekee malengo tusave ili tuongeze gari lingine. Zipo incidents nyingi ambazo nisingependa kuziweka wazi sana lakini ninejitahidi ku compromise sana na kubalance ili tu asijisikie mnyonge lakini ndio hivyo. Naendelea kusoma mawazo yenu na maoni zaidi.
Kuna wanawake lazma waione pepo mkuu ila hawa washenzi wengine akiwa na biashara zake kwao wa kishua atataka aanze kukupangia na mda wa kurudi kwako, ashikilie simu yako yani full control freak😅Kuna jamaa yangu alikua hohehahe tu ila alipata zari la kupendwa na mtoto wa kishua, demu kwao hela ipo haswaaa na yeye mwenyewe ana biashara na miradi yake mbalimbali.
Mwanamke kueleza kwao anataka aolewe na mtu fulani familia nzima ikapinga wanataka aolewe na mtu mwenye status kama yao.
Demu kwa kua alimpenda sana jamaa akapambana hivyohivyo mpaka wakafanikiwa kuoana.
Mke alikua submissive sana kwa mumewe, alimshirikisha mume wake kwenye miradi yake yote na baada ya kujifungua watoto wawili akaamua kua mama wa nyumbani alee watoto, biashara na miradi yote akamuachia mumewe aiendeshe.
Ndoa yao sasa hivi ina zaidi ya miaka 15 na nyumba yao ina amani na upendo kwelikweli.
Kwa sasa hivi kumpata mwanamke wa hivyo labda ni mmoja kati ya wanawake 1000.
Sasa hivi jamaa anakubalika kwelikweli kwenye familia ya mke wake.
Kikubwa na mwanaume pia ametulia hana mambo mengi,
shida inakuja kwa wale wanaume akishapata hela anataka ale bata sasa na wanawake mbalimbali.
Kwa kauli kama hizo mwanaume akitoboa tu jua huyo mwanamke laza atautambua uongoziTatizo vijana tuogopa mfano mmekorofishana utakuta mwanamke anataka maneno ambayo mwanaume yatabakia moyon yaki muhumiza mfano Mwanaume anaishi kwenye Nyumba ya mwanamke wako na anatumia gar la mwanamke wake sasa siku mmekorofisha mwanamke akikasirika anajikuta anaropoka Tu, Kwanza Nyumba nimejenga mimi gar nimenunua Mimi, Kama vip niache na maisha yangu Mimi umenikuta najitegemea Mimi sina shida, Kwa maneno kama haya lazima mwaume hukose furah maisha yko yote kama ataendelea kukaa hapo Kwa mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke akiwa na pesa anageuka Mfalme na hii hudhihiri nyakati za mkwaruzano, mwanamke mwenye pesa sharti arogwe tu ndio amani inakuwepoBila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo yangu mbali mbali niliyojiwekea. Nimefanya kazi sehemu kadhaa nikapata nafasi ya kwenda nje kujiendeleza kielimu. Baada ya kurudi Mungu hamtupi mja wake nimepata kazi nzuri nikafanikiwa kuanza ujenzi na sipo sehemu mbaya nikijaliwa mwisho wa mwaka nahamia kwangu.
Niwe tu mkweli mimi ni mchakarikaji haswa , sio wale wadada wanaopata vitu kwa kwa kutegemea wanaume hapa nilipo ni bidii yangu na support ya wazazi. Sasa katika maisha ya kazi nilibahatika kukutana na kaka ambaye katika kuzoeana tulianzisha mahusiano ambayo kwa namna moja yalikua serious ( ama ndivyo nilivyoyatafsiri) tulikua huru na wazi na baadhi ya nduguze walinifahamu.
Huyu kaka baadae katika ukaribu wetu alijua kwamba nimejenga na nina kabiashara kangu kaongeza kipato japo sikua najivuna lakini alianza kuonyesha inferiority na ikawa chanzo cha ugomvi. Nikisafiri kikazi alikua muda wote anapiga video call na voic call nikajua mahaba kumbe alikua na wivu na vitu kama hivyo mwishowe tulishindwana maana ikitokea kupishana anasema unaringa sababu una gari, umejenga etc kwa hiyo nikagundua hajiamini na anawivu hata usiopaswa ( kuna wakati alisema niache kazi kwasababu nasafiri sana) kitu ambacho kilipelekea mimi kukosa furaha na hatimae nikaumaliza mwendo.
Juzi tu nimekaa na rafiki yangu wa karibu ambae ni single mom wa baby girl mmoja mume alifariki mapema mno ila ni mpambanaji haswa na kwao wanamsupport sana kwa hiyo mambo yake si haba ana kazi nzuri, ana kwake , usafiri na mwanae anaishi nae vizuri sasa katika kufuta upweke akakutana na mkaka wakaanza mahusiano.
Miezi michache mbele mkaka akamwambia dada najiskia vibaya kuwa na mwanamke alienizidi anajiona ha-fit kwa huyu dada ( yani sio wa level zake) na anaona kama dada atamuacha afate wa size yake. Ninavyomfahamu rafiki yangu yuko humble sana na ana aibu yani sio mdada wa mjini .
Ameumia kuachika kisa tu mwanaume anahisi hawaendani vipato ( Mwanaume ni mwajiriwa private) , ni wiki inakata mwanaume kakata mawasiliano.
Ina maana siku hizi wanaume wanaogopa kukuta mwanamke ana kila kitu? Wanaona watadharaulika ama wanaona watachitiwa? Karibuni tujadili kwa lugha ya staha na heshima.
Ikiwezekana ushauri utolewe nini kifanyike kwa dada anaejikuta katika situation ii na vijana wafanyaje ili wasihisi hawana nafasi kwa wadada waliowazidi status.
Wee kwa nini ukaoe mwanamke aliyekuzidi elimu na pesa wakati wa size yako wapo? Hapo nikujitakia stress za kijinga tuu.Sijaoa, ila naogopa kuoa mwanamke aliyenipiga Gap kubwa kiuchumi. Sababu kuu ni hizo ulizotaja. Kwa maoni yangu mimi wanaweke wengi walio viziri kiuchumi wanakuwa na amri zenye nia ya kunyanyasa na kujikweza. Mwanaume ni kiongozi, hapaswi kuaongozwa hasa kwa ngazi ya familia.
Ni kujitafutia kifoWee kwa nini ukaoe mwanamke aliyekuzidi elimu na pesa wakati wa size yako wapo? Hapo nikujitakia stress za kijinga tuu.
Mweee....wee utakuwa huna tako🤣🤣🤣🤣🤣Asanteni wote kwa mawazo yenu mazuri nasoma na nina ji assess nakujifunza pia mtazamo wa kina kaka zetu . Uzuri wa JF mtu anakuja na ID fake ili aweze kuji express kwa uzuri kabisa na uwazi ili kupata honest opinion za wadau mimi ni mtaratibu sana na niko submisive sana tu. Ila imagine mwanaume hana usafiri mimi ninao na sikua mchoyo siku ambazo situmii namwambia kabisa anakuja anatumia apendavyo ikafika kipindi ananiambia kwasababu wewe ni mwanamke niachie gari niwe nakufuata mimi nakuku drop kazini ......anyway nikamwambia kwanini tusijiwekee malengo tusave ili tuongeze gari lingine. Zipo incidents nyingi ambazo nisingependa kuziweka wazi sana lakini ninejitahidi ku compromise sana na kubalance ili tu asijisikie mnyonge lakini ndio hivyo. Naendelea kusoma mawazo yenu na maoni zaidi
Najiamini lakini mimi sio mjinga, nawafahamu ha wa viumbeJiamini
Wana nyodo hao acha kabisa....Najiamini lakini mimi sio mjinga, nawafahamu ha wa viumbe