Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

Sio kuogopa bali ni ukweli uliopo katika situation za ivo. Huwa inadaiwa kua inawezekana wakaishi vizuri lkn huwa ni pale mwanzo tu mwisho wa siku wanawake wanasahau nafasi ya mwanaume na mwanaume yoyote asipotumia opportunity mwanamke kuwa na uwezo kuliko yeye kufanya kazi vizuri na vizuri kiuchumi zaidi ya huyo mwanamke wake basi ni hola hakuna kinachowezekana. Mwanaume sikuzote lazma amzidi mwanamke otherwise majanga lazma yatokee. Kwaio solution ni either atafute wa level zake au akiwa chini yake huyo man lazima awe na akili ya kutumia fursa ya uwezo alionao uyo mwanamke kufanya maendeleo zaidi ya aliomkuta nayo na asisahau alipotoka na ampende kiukwel uyo lady. masela wengi pakutokea ndio Chenga ila heshima anaitaka tatizo wanawake wachache wanaoweza kuonesha kwa dhati io heshima inayohitajika kwenye hali ya hivyo.
 
Asanteni wote kwa mawazo yenu mazuri nasoma na nina ji assess nakujifunza pia mtazamo wa kina kaka zetu . Uzuri wa JF mtu anakuja na ID fake ili aweze kuji express kwa uzuri kabisa na uwazi ili kupata honest opinion za wadau mimi ni mtaratibu sana na niko submisive sana tu. Ila imagine mwanaume hana usafiri mimi ninao na sikua mchoyo siku ambazo situmii namwambia kabisa anakuja anatumia apendavyo ikafika kipindi ananiambia kwasababu wewe ni mwanamke niachie gari niwe nakufuata mimi nakuku drop kazini ......anyway nikamwambia kwanini tusijiwekee malengo tusave ili tuongeze gari lingine. Zipo incidents nyingi ambazo nisingependa kuziweka wazi sana lakini ninejitahidi ku compromise sana na kubalance ili tu asijisikie mnyonge lakini ndio hivyo. Naendelea kusoma mawazo yenu na maoni zaidi
 
Tatizo vijana tuogopa mfano mmekorofishana utakuta mwanamke anataka maneno ambayo mwanaume yatabakia moyon yaki muhumiza mfano Mwanaume anaishi kwenye Nyumba ya mwanamke wako na anatumia gar la mwanamke wake sasa siku mmekorofisha mwanamke akikasirika anajikuta anaropoka Tu, Kwanza Nyumba nimejenga mimi gar nimenunua Mimi, Kama vip niache na maisha yangu Mimi umenikuta najitegemea Mimi sina shida, Kwa maneno kama haya lazima mwaume hukose furah maisha yko yote kama ataendelea kukaa hapo Kwa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha huyo Mzee huwa anakusimulia?
 
Hata kama mwanamke kakuzidi hela,jitahidi uwe smart upstairs.
 

Speechless dahhhh🙌, dunia ina mengi ya kutufunza
 
Kuna wanawake lazma waione pepo mkuu ila hawa washenzi wengine akiwa na biashara zake kwao wa kishua atataka aanze kukupangia na mda wa kurudi kwako, ashikilie simu yako yani full control freak😅
 
Kwa kauli kama hizo mwanaume akitoboa tu jua huyo mwanamke laza atautambua uongozi
 
Mwanamke akiwa na pesa anageuka Mfalme na hii hudhihiri nyakati za mkwaruzano, mwanamke mwenye pesa sharti arogwe tu ndio amani inakuwepo
 
Wee kwa nini ukaoe mwanamke aliyekuzidi elimu na pesa wakati wa size yako wapo? Hapo nikujitakia stress za kijinga tuu.
 
Mweee....wee utakuwa huna tako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…