chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
hapa sijasema kuwa ndio anakuwa wa kwanza kufa, nimesema huwa anakufa na umri mdogo kuliko mwanamkeVipi kigezo cha upishano wa umri
Mh!!Single ladyHalafu wanasingizia lile kabila pendwa kuwa wanawake ndo wanawarestisha, kama sababu ndo hizo na warest tuu in peace tutawakuta huko maana hamna namna
Nafikiri haki sawa itatukomboa kutoka kwenye hizo heka heka soon![emoji1]Na pia ndio wana heka heka nyingi za maisha kuliko wanawake, ukikuta kwenye migodi, machimbo ya kokoto, vifusi, magari ajali zmetokea, mara nyingi unakuta idadi ya wanaume waliokufa inazidi wanawake 'cause ndio wengi kwenye hizo harakati za maisha .
Familia nyingi zimebaki na kina mama. Very sad.
Utakubaliana na mimi kwamba wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha wake zao, ingawa swali linabaki kuwa ni kwanini?
Zifuatazo ni sababu 6 za wanaume wengi walioko kwenye ndoa kufa mapema na kuwaacha wake zao.
1. Ugumu katika kufunguka.
Utakubaliana na mimi kwamba wanaume ni wagumu sana ten asana kufunguka na kushirikisha mambo yao, wao wako tayari wafe na tai shingoni wakijifanya hawaumii au hawasikii shida. Mkiwa na ishu kwenye ndo mkaitwa sehemu muyaongee yeye kamwe hamumpati, anakwambia
mambo yetu tutasuluhisha wenyewe wakati ndani yanamla na kummaliza.
2. Ugumu katika kusamehe.
Kusamehe sio tu kwa faida ya anayesamehewa bali pia kwa afya yaw ewe unayesamehe. Mzigo unaotokana na kusamehe hutuumiza sana mioyo yetu, hata kama mara nyingine tunajifanya hatuna shida yeyote.
Unaposamehe unaachilia mzigo mkubwa, wanaume wao ni wagumu sana kusamehe. Wako tayari wakubebe moyoni miaka, na tena watakukumbusha uchungu wao kila wanapokuona. Hii inawala sana bila wao kujua.
3. Tabia hatarishi.
Wanaume wengi kwenye ndoa ndio wanaoongoza kushiriki tabia hatarishi kama vile ulevi, anasa, ngono holela na hii huwaweka karibu zaidi na jeneza kuliko wake zao
waliowaacha nyumbani wakiwadanganya kuwa wako mkutanoni mkoani.
4. Ugumu katika kujali afya.
Ni rahisi sana mwanaume akajisikia vibaya lakini asiende hospitalini kuangalia afya, hata pale anapohimizwa kwenda bado anaweza kukwepa au kubisha au hata kusema kuwa ameshakwenda au ameshakunywa dawa kumbe mwongo.
Wako pia ambao wanaweza kupewa dawa na wasizitumie.
5. Msongo wa mawazo.
Wanaume ndio wabebaji wakubwa wa shehena za msongo wa mawazo “stress” ingawa kwa nje wanajitahidi sana kuonyesha kuwa mambo yako shwari wakati wanatafunwa ndani. Kaulize hospitalini, wanaokufa kwa presha ya kupanda au ya kushuka, stroke, kusimama kwa
moyo, kupasuka kwa mishipa ya damu, matatizo ya mifupa, au kuumwa sana kichwa, halafu uliza ni jinsia gani.
Kuwa open, roho safi and less agressive
Daah yaani Chinchlla wewe,yaani basi tu acha nikusare tu kwa leo maana najuta kukufahamu.Utakubaliana na mimi kwamba wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha wake zao, ingawa swali linabaki kuwa ni kwanini?
Zifuatazo ni sababu 6 za wanaume wengi walioko kwenye ndoa kufa mapema na kuwaacha wake zao.
1. Ugumu katika kufunguka.
Utakubaliana na mimi kwamba wanaume ni wagumu sana ten asana kufunguka na kushirikisha mambo yao, wao wako tayari wafe na tai shingoni wakijifanya hawaumii au hawasikii shida. Mkiwa na ishu kwenye ndo mkaitwa sehemu muyaongee yeye kamwe hamumpati, anakwambia
mambo yetu tutasuluhisha wenyewe wakati ndani yanamla na kummaliza.
2. Ugumu katika kusamehe.
Kusamehe sio tu kwa faida ya anayesamehewa bali pia kwa afya yaw ewe unayesamehe. Mzigo unaotokana na kusamehe hutuumiza sana mioyo yetu, hata kama mara nyingine tunajifanya hatuna shida yeyote.
Unaposamehe unaachilia mzigo mkubwa, wanaume wao ni wagumu sana kusamehe. Wako tayari wakubebe moyoni miaka, na tena watakukumbusha uchungu wao kila wanapokuona. Hii inawala sana bila wao kujua.
3. Tabia hatarishi.
Wanaume wengi kwenye ndoa ndio wanaoongoza kushiriki tabia hatarishi kama vile ulevi, anasa, ngono holela na hii huwaweka karibu zaidi na jeneza kuliko wake zao
waliowaacha nyumbani wakiwadanganya kuwa wako mkutanoni mkoani.
4. Ugumu katika kujali afya.
Ni rahisi sana mwanaume akajisikia vibaya lakini asiende hospitalini kuangalia afya, hata pale anapohimizwa kwenda bado anaweza kukwepa au kubisha au hata kusema kuwa ameshakwenda au ameshakunywa dawa kumbe mwongo.
Wako pia ambao wanaweza kupewa dawa na wasizitumie.
5. Msongo wa mawazo.
Wanaume ndio wabebaji wakubwa wa shehena za msongo wa mawazo “stress” ingawa kwa nje wanajitahidi sana kuonyesha kuwa mambo yako shwari wakati wanatafunwa ndani. Kaulize hospitalini, wanaokufa kwa presha ya kupanda au ya kushuka, stroke, kusimama kwa
moyo, kupasuka kwa mishipa ya damu, matatizo ya mifupa, au kuumwa sana kichwa, halafu uliza ni jinsia gani.
Kuwa open, roho safi and less agressive
Haki sawa ni kwenye media tu...Nafikiri haki sawa itatukomboa kutoka kwenye hilo soon![emoji1]
Mbona huyu kaweza?[emoji17]Haki sawa ni kwenye media tu...
Juzi kuna makuli walikuwa wanashusha cement kwenye semi, juani na lile vumbi la cement usipime, nikajisemea hivi wale wa Haki sawa wako wapi nao waje washushe cement tuone kwa vitendo?
Usingle umetoka wapi tena kwenye hii mada jamaniMh!!Single lady
Kwa jinsi ulivyocoment ni kweli utakuwa married umuombee mwenziyo vileUsingle umetoka wapi tena kwenye hii mada jamani
Unaweza kuta mkoa mzima yuko huyo mmoja. The rest ni kwenye mediaMbona huyu kaweza?[emoji17]
Teh, namuombeaga sana tu wala usiwazeKwa jinsi ulivyocoment ni kweli utakuwa married umuombee mwenziyo vile
Mbona huyu kaweza?[emoji17]