Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.


Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

Nawakilisha!
Utafiti wako umeufanyia wapi? Ni utafiti uliozingatia kanuni zote za kisayansi au ni wa Kiswahili Swahili tu?

Nasema hivi kwa sababu tafiti nyingi sana tangulizi zimeonyesha kwamba wanaume waliooa actually huishi maisha marefu kuliko walio single. Single wana risk behavior nyingi mno zinazotokana na kuishi maisha kama macho man kwa sababu hawana majukumu yo yote.

Ngoja nitakutumia research papers zinazoongelea jambo hili pamoja na utafiti mzuri sana uliofanywa Japan kuhusu ishu ya wanaume kufa mapema.

Kwetu sisi mbali na genetic factors lakini pia wanaume tuna risk behavior nyingi sana zikiwemo kuvuta sigara, kuendesha magari mwendo kasi, kutokwenda hospital for physical check up mpaka ugonjwa unakaribia kukuua ndo unaenda, of course nyumba ndogo na uzinzi etc...
 
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.


Eti Vinyongo visivyoisha1!!!!! :heh::heh::heh:
 
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
duu,,,,,, haya mama. mwanaume anagubu, kinyongo kisichoisha, kutosamehe na kuweka vitu moyoni..........................lol huyo mwanaume atakuwa na mke jeuri au mgawaji sana.

N
 
duu,,,,,, haya mama. mwanaume anagubu, kinyongo kisichoisha, kutosamehe na kuweka vitu moyoni..........................lol huyo mwanaume atakuwa na mke jeuri au mgawaji sana.

N

Inawezekana pia. Nimesema baadhi. Ar u among them?
 
1.mara nying kwenye ndoa wanaume ni wakubwa kiumri kuliko wanawake kwa hiyo huwa muda wetu wa kufa (life expectancy)hufika kabla ya wake zetu
2.stress za maisha kuwaza jinsi ya kutunza familia husababisha magonjwa kama presha,kisukari nk
3.kufanya kazi za risk,kukwea minazi ili kutungua nazi,kujenga majengo marefu,kuendesha bodaboda,ujambazi,kuzamia migodini ,udereva,wanajeshi kufia vitani hizo ni kazi zenye risk kubwa na nyingi hufanyawa wanaume na zinakula roho zetu sana
4.kurogwa,au kuuliwa na wake zetu ili warithi mali,wale wanawake toka kule mkoa wenye mlima mrefu wananielewa

Khaaaa!!!!
Mada ya 2009.
 
Ok vidume twafa haraka tatizo kila siku mashori wenye mikia wanaongezeka.We die like thorn birds.

Jlo na LL Cool J mfano mbona hawazeeki?I wish i could have such kind of gene.Born 1960s but look at 'em.
 

Attachments

  • jennifer lopez and ll cool j _ Tumblr.png
    jennifer lopez and ll cool j _ Tumblr.png
    54.9 KB · Views: 140
Utafiti wako umeufanyia wapi? Ni utafiti uliozingatia kanuni zote za kisayansi au ni wa Kiswahili Swahili tu?

Nasema hivi kwa sababu tafiti nyingi sana tangulizi zimeonyesha kwamba wanaume waliooa actually huishi maisha marefu kuliko walio single. Single wana risk behavior nyingi mno zinazotokana na kuishi maisha kama macho man kwa sababu hawana majukumu yo yote.

Ngoja nitakutumia research papers zinazoongelea jambo hili pamoja na utafiti mzuri sana uliofanywa Japan kuhusu ishu ya wanaume kufa mapema.

Kwetu sisi mbali na genetic factors lakini pia wanaume tuna risk behavior nyingi sana zikiwemo kuvuta sigara, kuendesha magari mwendo kasi, kutokwenda hospital for physical check up mpaka ugonjwa unakaribia kukuua ndo unaenda, of course nyumba ndogo na uzinzi etc...
Study yako ni ya kweli lakini si kwa mazingira yetu ya Tz na Africa kwa ujumla.
 
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

Nawasilisha!

=========
Chris Mauk anasemaje?

UMENENA. MIMI MWENYEWE MKE WANGU KANIPITA 4YRS, LAKINI WATU WANANIAMKIA YEYE HAWAMUAMKII. YAANI MTU WA 45 ANANIAMBIA SHIKAMOO. NINAONEKANA MZEE KULIKO WIFE. THIS WORLD.
 
UMENENA. MIMI MWENYEWE MKE WANGU KANIPITA 4YRS, LAKINI WATU WANANIAMKIA YEYE HAWAMUAMKII. YAANI MTU WA 45 ANANIAMBIA SHIKAMOO. NINAONEKANA MZEE KULIKO WIFE. THIS WORLD.
kuoa mke aliyekuzidi umr inachangia kuzeeka haraka sana
 
Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?
It is a demographic fact that mortality among males tends to be higher than among females; not only for humans but for all living species. it is not necessarily due to abuse by the female genre but just a natural demographic phenomenon. Therefore life expectancy in societies all over the world tends to be higher for females than for males. That is why we have more widows than widowers. However, in general if we look at life expectancy by marital status, that of marrieds tends to be higher than that of singles. This is because the married people tend to take care of each other; e.g. in feeding patterns and when one is in ill health. A single male coming from work at 5 pm would pass by a pub; have a beer or two and go to sleep without having eaten a proper meal. On the contrary the married one will find food at home.
 
Kweli kabisa ingawa kuna wachache ambao either hawajaoa au kupatwa na misukosuko ya ndoa watabisha mpaka mishipa itawatoka.
 
Duh jamaa katembea kwenye maisha yangu kabisa huyu . Miaka miwili iliyopita niligundua kuwa mke wangu ambaye sikuwa na shaka nae alikuwa anabanduliwa na mfanyakazi mwenzake . Kabla ya hapo , jamaa alikuwa anatokezea kwenye kila kitu ambacho wife alikuwa anafanya, ukiuliza unaambiwa mfanyakazi mwenzangu ,hakuna shida. Sasa ikafikia muda ,kila kitu kinachofanywa ndani lazima jamaa atoe opinion, nikaona isiwe shida,nikaunda timu ya viwaja wangu waanze kutafuta ukweli. Ndani ya muda sio mrefu ,kila kilipatikana.Nilipata hasira, mawazo yakawa mengi ,natama kumuacha binti ,lakini tumezaa .Natamani kupotezea yule jamaa ,lakini namuonea huruma ( maana kuna jamaa walijitolea kuifanya hii kazi). Sasa ikawa ni shida tu, mawazo mengi, pressure tu, nikimuona wife wala sitaki kumtazama mara mbili. Nikaona isiwe shida ,nikafufua project za zamani zilizokuwa pending (ambazo hawanipi pressure,binti wa kihindi(punjab)) ,full mantra kabla ya kwenda home, nafika home full relaxed. Nampotezea tu siku hizi.
 
Back
Top Bottom