Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
Fafanua tafadhari
 
mimi nina sababu zangu zinazofanya nione kwanini wanaume wanakufa zaidi

1.Uumbaji wa Mungu...tunaambiwa Mungu alimuumba kwanza Adam kisha Eva,hii ndio kusema Eva/Mwanamke ni new model...kama binadamu tu akitengeneza kitu chake new model kinakuwa bora kuliko cha zamani basi hata Mungu bila shaka aliongeza ubora flaniflani kwa kiumbe chake kipya....kipya akakipa uwezo zaidi katika maeneo zaidi ikiwamo kustahimili zaidi katika njaa na kuishi muda mrefu zaidi

2.Kublid...mimi si mwanasayansi lakini wanasayansi walipaswa wawe wameshaweka bayana faida ya mwanamke kublid,nahisi,kublid kunawasaidia zaidi wanawake kuishi zaidi,ni kama damu chafu ya zamani inatolewa na kuwekwa au kutengenezwa mpya ambapo kwa mwanaume ni kama haifanyiki,umuhimu wake unaweza kufananisha na jinsi tunavyobadili oil ktk gari!!!

3.Kutokulia na kutosema mambo yetu...sote tunajua nafuu tunayopata tukiwa katika matatizo kisha tukalia au kushea matatizo yetu na wengine.....wanaume almost hatulii au kushea matatizo yetu tunakufa nayo wenyewe tu!!!kama wanaume tunahitaji kuishi zaidi inabidi tujifunze kulia hata kama utakuwa umejichimbia chumbani
 
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.

Hili nalo neno aisee!
 
Mi naomba kujua ni njia gani umezitumia kufanya tafiti zako!!je ni watu wangapi/kundi lenye watu wangapi umeifanyia tafiti na wapi na kwa nini!!kwa mwonekano wa haraka ni kama umesoma tu sehemu na kuja na mada hapa!!sawa unaweza fanya tafiti kupitia hapa but can be nullified!!!Embe lete hypothesis ya tafiti before testing it nakutoa hitimisho.
 
kuhusu kazi nzito kwamba ndo zinazowafanya wanaume kufa nakataa kwani hata wanawake wanafanya kazi nzito tuu kama mkoa flani ivi ni wajenzi wazuri tuu na maengineer. pia stress hata wao wanapata kwa sababu sisi wanaume tulioajiriwa na kujiajiri tuna tabia ya kupata faraja/michwpuko nje kutuliza haja hapa wake zetu wanaumi pia mjue. tatizo la wanaume hatukubali kushindwa na mauivu twaficha mmoyon hapa lazima moyo uwe mzito tuu tufe pia mwanamke akipata shida anaenda kulala na mwanaume apate faraja na pumziko sisi twajilaumu na kufakamia mapombe mengi hapa lazima kaburi tulione tuu kwa wingi. pia wanaume hatujijali kiafya na mioyon mwetu kwa mwanamke mweee atafanya ujinga gan hata kosa kubwa vip lakini atapambana nafsi yake iwe na aman lakini sisi wanaume ni watu wakujutia tuu hapa lazima tukione cha moto. mwisho wanaume tumwombe Mungu kwani anatipenda sana na ndo maana katuumba pia tujitahidi kujiweka huru mioyo yetu shida ikitokea turelax na kupumzika kwa aman pia tuige mambo wanayofanya hawa wanawake kujiweka huru nakwambia tutatoboa tuu ngoma itakua droo. pia nature inasema wanawake wanaishi mda mrefu zaidi sabab ya vitu vingi vya kibaiolojia hata kwa mwonekano tuu angalia makalio yao makubwa matiti mafuta ya tumboni yale mapaja hapo kuna ishu ya DNA lazma wapete tuu. haemophilia muifanyie kazi.
nashukuru Mwenyezi Mungu atulinde wote tupendane muachane na mambo ya pesa nyie wanawake kama vipi mtafute zenu wenyewe na sio kutegeemea wanaume mna baba na mama zenu mukawaombe kama ni utamu wakitandani twapata wote ndo humo kwenye ivo viungo tajwa hapo juu kina enegu kibao za ATP for reserve. hayo tuu nlojaliwa kwa leo.
 
kulia ni dawa aisee aikwambie mtu.......yaani unaliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukitoka hapo mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama umetua gunia la misumari..... i wish sie wenginetungepewa machozi ya promo


3.Kutokulia na kutosema mambo yetu...sote tunajua nafuu tunayopata tukiwa katika matatizo kisha tukalia au kushea matatizo yetu na wengine.....wanaume almost hatulii au kushea matatizo yetu tunakufa nayo wenyewe tu!!!kama wanaume tunahitaji kuishi zaidi inabidi tujifunze kulia hata kama utakuwa umejichimbia chumbani
 
Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Ok vidume twafa haraka tatizo kila siku mashori wenye mikia wanaongezeka.We die like thorn birds.

Jlo na LL Cool J mfano mbona hawazeeki?I wish i could have such kind of gene.Born 1960s but look at 'em.
CHAKULA...NO CHUMVI..NO SALT...NO SUGAR...NO SUKARI..NO NYAMAS AND HAWALI MAFUTAS....PIA MAZOEZI...NA KUNYWA A LOT OF MAJIS
 
Wanawake tunaumizwa sana ila tunafunguka, tunalia, tunaomba na kusamehe, hapo tunapunguza msongo wa mawazo na maumivu ya moyo, sasa wanaume hamtaki kulia eti mtaaibika, hamsameh wala hamfunguki mnapenda kufa na tai shingoni, kwa sababu hizi tutarajie wajane wengi, Ee Mwenyezi Mungu nisaidie nisibaki mjane.
 
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
Ni ngumu sana kufunga mkataba wa kuishi milele na mtu mliyekutana tu ukubwani,akiwa na malezi na makuzi tofauti,then muanze kuishi nyumba moja,unashinda naye mchana na jioni,aanze kukucommand na ku-dictate matumizi ya hela yako utadhani alikusomesha yeye,aanze kukuzuia usiwasaidie wazazi waliokusomesha na ndugu uliosota nao na kukulazimisha upende ndugu zake utadhani unawafahamu,upende wazazi wake utadhani walikuzaa na wewe.ujali zaidi shida za ukweni,akusimulie story na shida za nyumbani kwao na ategemee u-pay attention na kuchangia ushauri wakati wewe ukimsimulia za kwenu hana hata interest kusikia,akuchagulie marafiki na kila siku umjulishe umekaa baa gani na huko na nani na kwanini hurudi nyumbani haraka etc etc etc kwa kweli ndoa ni shida sana hasa hasa ukioa mwanamke anayejiona kasoma ni shidaaa
 
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

Nawasilisha!

=========
Chris Mauk anasemaje?
Hacha vingast wafaidi
 
Inaukweli ndani yake,,Ila si wote walioko kwenye ndoa hupata matatizo hatimaye kifo cha mapema,wengine hufulaia maisha ya ndoa,.na Mungu huwabariki maisha marefu...so ndoa ndani ya bwana yesu inabaraka.
 
Siwezi kufa kwa stress, japo najua atakuwa anamegwa tu huko kandokando kivyake.
 
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

Nawasilisha!

=========
Chris Mauk anasemaje?
Cc: msem
 
Siwezi kufa kwa stress, japo najua atakuwa anamegwa tu huko kandokando kivyake.
mkuu unawaza mbali yan inshort ni ki relax tuu na kuomba uzima Mungu akuepushe na magonjwa maana wanawakke wengine ni kama mapori kuna kila aina ya viumbe.
 
Sio kweli labda uchunguzi wwenu mliufanya kwakuzingatia eneo moja tu. Pia jaribu kuulizia tofaut ya umri kati yamume na mke wa hao ulofanyia utafiti utagundua kua utofaut wa maiaka ndo unapelekea yule ambae ni mzee zaidi kwa uri anatangulia kufariki. Na ili uende sawa na mkeo lazima uoe ambae mmepishana umri kuanzia miaka 10 na kuendelea... ukioa ambae mnalingana umri mke anawai kuzeeka mwanaume anabaki kijana afu mke anakua mzee. Nipende kusema huo sio utafiti ni maono yako tuu ya juu juu ambayo hukuyafanyia utafit. Tambua tofaut kati ya maono na utafit.. kwa mfano mimi na mke wangu namzidi kwa miaka kumu na moja....
 
Hii ni kweli,wanawake wanakero sana.kila kitu anataka kukufanannisha na wanaume wengine.Utasikia ona Fulani...
 
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

Nawasilisha!

=========
Chris Mauk anasemaje?
Soma elimu ya genetics. Mambo ya chromosomes; XX na XY utaelewa udhaifu wa kimaumbile badala ya frustration unazotaja.
 
Back
Top Bottom