Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Yaani mwanaume unatakiwa uwe full package aisee, ngoja nikuitie Paulo Sergio De Souz akupe somo zuri juu ya hilo ili tusichepuke.
Tuma kwanza kamilioni aisee, ka kujibu pm tafadhali.
Hahaha. Atakuwa anajua ila basi tu.
Wengine wanaomba kufuatwa PM, atoto unachaji 'angalau kamilioni', asante.
Last edited by a moderator: