Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
uhakika wa kushinda ni asilimia 100 kabla ya misa ya kwanza haijaisha
Nafasi gani? Isije ikawa mwenyekiti wa mtaa!!
uhakika wa kushinda ni asilimia 100 kabla ya misa ya kwanza haijaisha
Aisee ..nyie mapacha nini...pesa mbele....bila kufungua wallet kipochi manyoya utasikisikia kwenye bomba tu....
jje's Pamoja sana....huo ndo utamu wa JF ......sema hawa watoto wa kimachame atoto na miss chagga wametisha zaidi ..credit zaidi kwa DK. MAUKI....Wasalimie machalii wa kwa mromboo, kwa mrefu, kwa msola kwa idd n.k
mimi siyo mmchame bwana nasingiziwaHahahaaaa!! Eti watoto wa kmachame, eti miss chagga wewe mmachame?
Nafasi gani? Isije ikawa mwenyekiti wa mtaa!!
mimi siyo mmchame bwana nasingiziwa
naweza kujiita mmachame ila nipe hela kwanzadaaah..kwa hiyo nimekukosa .....natafuta mmachame awe wa maisha, kufa na kuzikana...
naweza kujiita mmachame ila nipe hela kwanza
pesa inanunua kila kitu mkuuduuh we pesa itakuaa
pesa inanunua kila kitu mkuu
umetisha mmachame ......naweza kujiita mmachame ila nipe hela kwanza
usiniite hivyo nipe hela kwanza ndiyo uniiteumetisha mmachame ......
umejuaje ..uenyekiti wa mtaa wa mjini kati...deal zote zinazofanyikia mtaani lazima zipate baraka zangu......
Mweeeeh!! Basi tena nimekukosa.
usiwe mwepesi wa kukata tamaa...hii nishaipigia sana hesabu na ina pesa nyingi
mpalu
utafitio huu naukubali haswa ukiwa na mke/mpenzi kama atoto au miss chagga lazima utangulie mapema...