Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Wanaume stress zinawauma sana na kutokusamehe pia inachangia. Kibiologia pia mwanamke hutoa sumu mwilini kila mwezi tofauti na wanaume. Bad life style LA wanaume wengi unywaji pombe, uvutaji sigara kuendekeza michepuko nayo hula nguvu nyingi za wanaume wao wakidhani sifa kubadili wanawake ili waonekane vidume vya mbegu kumbe wanajichosha wenyewe,kwa kuendekeza ngono. Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing watasali hyo inawapa confidence na matumaini ya maisha. Tofauti na wanaume wengi hujiamini na kutokusali so stress ndo zinawamaliza.
 
''Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing'' ingekuwa essay ningekupa sifuri kwa point hii
 
Sio sifuri ungeweza minus sifuri. Hii ni personal observation yangu niijuayo kwa wanawake wengi. Na wewe toa yako yenye excellent
 
Sabab n kwamba wanaume weng wanaoa wanawake wenye umri mdogo,wanaume wanatabia hatarish kama unywaj wa pombe,madawa n. Pia wanaumevweng hawahudhurii hospital wanapougua hii huchangia afya zao kuwa dun na hivyo kufarik mapema
 
Wanatunyonya damu. Kila siku tunawalisha maprotini kupitia mdomo wa pili we unategemea nini?? Afu bahati mbaya huwa hawashibi, kila mara wanataka tena lol

Asprin jaman mbavu zangu. Nimecheka sana jamani.

therefore protein ikitoka hupati lolote kwao???

Nisaidie.
 
Wanaume stress zinawauma sana na kutokusamehe pia inachangia. Kibiologia pia mwanamke hutoa sumu mwilini kila mwezi tofauti na wanaume. Bad life style LA wanaume wengi unywaji pombe, uvutaji sigara kuendekeza michepuko nayo hula nguvu nyingi za wanaume wao wakidhani sifa kubadili wanawake ili waonekane vidume vya mbegu kumbe wanajichosha wenyewe,kwa kuendekeza ngono. Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing watasali hyo inawapa confidence na matumaini ya maisha. Tofauti na wanaume wengi hujiamini na kutokusali so stress ndo zinawamaliza.

Diva umesema ukweli 90% wa kukataa akatae tu.

Kuongeza kidogo pia wanawake hutoa sumu mwilini na rohoni pale anapokasirishwa na mwenzi wake kwa kushare na rafiki yake wa karibu kitu ambacho kwa mwanaume ni ngumu. Hivyo huleta msongo wa mawazo na kuleta maafa.

Wanaume TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
 
wacha tutangulie kwa Mungu tuwaachie haya maoambano ya life wayakabili.
 
Lakini pia watu wanasahau wanaume wanao wanawake wadogo kwa umri.Unakuta mwanaume kampita mke wake miaka kumi sasa unategemea nani ataanza kufa kwa kigezo cha umri.

Wanaume stress zinawauma sana na kutokusamehe pia inachangia. Kibiologia pia mwanamke hutoa sumu mwilini kila mwezi tofauti na wanaume. Bad life style LA wanaume wengi unywaji pombe, uvutaji sigara kuendekeza michepuko nayo hula nguvu nyingi za wanaume wao wakidhani sifa kubadili wanawake ili waonekane vidume vya mbegu kumbe wanajichosha wenyewe,kwa kuendekeza ngono. Uchaji Mungu wanawake wengi ni God fearing watasali hyo inawapa confidence na matumaini ya maisha. Tofauti na wanaume wengi hujiamini na kutokusali so stress ndo zinawamaliza.
 
Wengine wanapitia wakati mgumu na hivyo Bwana Mungu anawanusuru na mateso kadhaa kwa kuwachukua ili wasiteseke zaidi.

Angalia familia zinazofiwa na waume zao utakuta wana maisha mazuri tu.
 
Back
Top Bottom