miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
aisee hapana RRONDO anamkakati wa kutufanya tusipate wenza jfha ha .. atoto na miss chagga kuna ukweli wowote kwenye hili
Last edited by a moderator:
aisee hapana RRONDO anamkakati wa kutufanya tusipate wenza jfha ha .. atoto na miss chagga kuna ukweli wowote kwenye hili
mkuu hata za introduction hapati
Hahahhaha wale kina manka utajikuta unaanza kulia Peke ako mbona. Hasa atoto hana utani kabisa, siku ukikosa hela lala tu huko huko.trust hayo majukumu mengine yote hayafikii mzigo wa mke kama atoto au miss chagga .....simu ya dada,mjomba unaweza kupotezea ila ya ndani ya nyumba lazima utimize!
kufa hufi ila chamoto utakiona .. na hapapesa kwanzatrust hayo majukumu mengine yote hayafikii mzigo wa mke kama atoto au miss chagga .....simu ya dada,mjomba unaweza kupotezea ila ya ndani ya nyumba lazima utimize!
RRONDO bwana ananisingizia tu, tena utaishi maisha marefu mnooo.ha ha .. atoto na miss chagga kuna ukweli wowote kwenye hili
ha ha ha hii si kashfa mkuu hii ni nzuri ukija kwangu lazima uwe na chapaa ya kutoshaAnawapa kashfa nzito ambayo haisafishiki.........
Hahahhaha wale kina manka utajikuta unaanza kulia Peke ako mbona. Hasa atoto hana utani kabisa, siku ukikosa hela lala tu huko huko.
trust me hayo majukumu mengine yote hayafikii mzigo wa mke kama atoto au miss chagga .....simu ya dada,mjomba unaweza kupotezea ila ya ndani ya nyumba lazima utimize!
aisee hapana RRONDO anamkakati wa kutufanya tusipate wenza jf
ila pesa ataitafuta tuRRONDO bwana ananisingizia tu, tena utaishi maisha marefu mnooo.
ha ha ha naona wanamkakati wakutugawia umasikini wao ,.. nimegoma wasipota pesa wataisoma nambaKabisaaa mama, yaani katuamulia hatari yeye na yule mdogo wake Paulo Sergio De Souze, RRONDO nikikosa mume utaniwowa ili ukafe mapema vizuri.
Hahahhaha wale kina manka utajikuta unaanza kulia Peke ako mbona. Hasa atoto hana utani kabisa, siku ukikosa hela lala tu huko huko.
Si ndo wanakusukuma utafute mahela mengi, au hutaki kuwa millionea wewe? Tehyaani sio utani mimi mwanamke wa kichagga[nisameheni ndio mawazo yangu] namuogopa kama ukoma!! watu gani wanathamini pesa kuliko chochote!!
yaani sio utani mimi mwanamke wa kichagga[nisameheni ndio mawazo yangu] namuogopa kama ukoma!! watu gani wanathamini pesa kuliko chochote!!
Hahahha nafikiri huu ujumbe utakuwa umemfikia RRONDO popote pale alipo. Mwisho wa siku lazima mahesabu yaletwe home by hook or by crook......Unakosaje hela sasa, kurudi ni must unless umelazwa, so hakikisha hukosi na home lazima urudi, hata kama utakaba we kaba tu ilimradi urudi home with cash.
ila pesa ataitafuta tu
tena kama hawezi apite mbaliLazima aisee, hiyo haina mbadala wala excuse.