Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

ha ha ha naona wanamkakati wakutugawia umasikini wao ,.. nimegoma wasipota pesa wataisoma namba

Umasikini ni dhambi, na tuliambiwa tuikimbie dhambi, yaani nitatoka speed mithili ya alofumaniwa.
 
Hahahha nafikiri huu ujumbe utakuwa umemfikia RRONDO popote pale alipo. Mwisho wa siku lazima mahesabu yaletwe home by hook or by crook......
Mmenifurahisha sana leo

Kabisaaaaa! Mwanaume unakosaje pesa? Bora ukose meno utakunywa uji kuliko ukose fedha.
 
Last edited by a moderator:
basi najitosa kwenye king'ang'anyiro......😛lane: safari ya pm hii

Masharti na vigezo kuzingatiwa, hebu tuma kwanza kama kamilioni hivi ka kununua bando za kujibu hizo pm kabla haujaanza kupm.
 
Hahahhaah mtazilipia mbavu zangu leo. Kwa hiyo pamoja na kuleta pesa lazima aishi maisha marefu... Ahsante

Anaanzaje kufa sasa!! Ahakikishe katuachia kwanza asset za kutosha,biashara endelevu, na cash ya kutosha kwa account, hapo ruksa tu kufa sasa.
 
tatizo ni kuabudu pesa...kila mtu anatakiwa atafute pesa ila wewe na dada yako miss chagga hapana mtaniua mapema!

Unadhani sie ndio tutakuua?? Umasikini wako ndio utakuua bwana, so anza kuukata huo umasikini mapemaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Unakuta mwanaume ana umri wa miaka 35 anaoa msichana wa miaka 17 unategemea nani atangulie kufa?
 
Back
Top Bottom