nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Kabisaaaaa! Mwanaume unakosaje pesa? Bora ukose meno utakunywa uji kuliko ukose fedha.
Aisee hii ni hatari
Kabisaaaaa! Mwanaume unakosaje pesa? Bora ukose meno utakunywa uji kuliko ukose fedha.
aisee aende akarutubishe udongo at list mazao yapate kuzaaana vyemaKama hana pesa bora tu aingie humo mapemaaa asitumalizie oxygen bila kuwa na purpose duniani.
wewe na dada yako ni shiida!!
Aisee hii ni hatari
aisee aende akarutuishe udongo at list mazao yapate kuzaaana vyema
ha ha ha hii si kashfa mkuu hii ni nzuri ukija kwangu lazima uwe na chapaa ya kutosha
Mkuu hiyo sasa special case....lakini nasikia siku hizi hawana shida
Kama kaona ki-nye-si vile, tena na uso ageuze.
ha ha ......Basi mkuu naomba uende kwa niaba yangu ukawe specimen ....sina uhakika na sina nia ya kuthitibisha hiyo theorykumbe unasikia but huna uhakika...kajaribu halafu urudi hapa kuthibitisha
pesa mbele kama taihapana chezeya mjukuu wa chief mareale ..PESA KWANZA
thank youYaan kusema ukweli atoto na miss chagga mmenifurahisha sana. Big up to all
thank you
Unajua kuna mtu anaweza kumtaja mwana Jf kama jembe lake kutokana na mawazo yake au mtazamo wake.
Wewe kwangu ni jembe Mkuu
hatuwaumizi ila tunawaeleza ukweli Eli79.. watachukua muda kuelewa lakini wataelewa tuatoto na miss chagga hakyanani mnawaumiza vidume kihisia duh. hahahaha!
ha ha ha asante mkuuUnajua kuna mtu anaweza kumtaja mwana Jf kama jembe lake kutokana na mawazo yake au mtazamo wake.
Wewe kwangu ni jembe Mkuu
miss chagga tuanze kutoza kiingilio mama, kumbe watu wanafurahi tu burebure hapa, teh teh tehendeleni bwana mnanipa raha #miss chagga