ha hah haha aYaani tumpambie na hasara alioiletea dunia!! Tunamdumbukiza tu huku unasonya kimoyomoyo
miss chagga tuanze kutoza kiingilio mama, kumbe watu wanafurahi tu burebure hapa, teh teh teh
amen......I wish him luck in hell
Kiingilio tena :what:
yaani ndio nazidi kuamini wewe ndio sababu ya mdogo wako cute b kunikimbia!!
Yeah!! Usifurahi tu bure bure changia kidogo jamani.
Sio nyie mnapenda kulisha wake zenu hiyo protin???
na mimi kuliko kuolewa na maskini bora nisiolewe
good boyhawa nawapitia mbali saaana....na wenyewe wanajua mi siwafai.
na umeamua kuitafuta pesa ilipo ,,... ha hahahanimegoma kufa.......
nimegoma kufa.......
Ngoja niende ATM
Khaaaah hutumii mobile banking? Nina ac za bank zote tz, so usipate shida kwenda atm