hawa nawapitia mbali saaana....na wenyewe wanajua mi siwafai.
😀😀😀 duuuh
na umeamua kuitafuta pesa ilipo ,,... ha hahaha
Hahahaaa! Utakufa tu maana hamna namna.
MPALU MPALU,
I forget to mention how you made my day by your clip.
Big up Mkuu Mpalu.
Kuna jamaa yangu aliniamba hivyo akatangulie yeye...haya hamna shida maana hakuna namna itabidi utangulie tu...te te te
mbona hunitaji mimi kwa kuendeleza huu mjadala?! atoto na miss chagga wasingejijibu wenyewe!
Paulo picha gani hiyo umetuma? Mie siioni bwana.
Thats the talk of a man, copy kwa RRONDO sio unakuwa muoga muoga.
Simu gani unatumia kwani? hiyo picha inaonyesha jinsi navyoamini ulichosema.
Wengine tunauliwaga bwana
So sema tu nikutumie namba ya account gani?
usione kimya...natafakari nikupe kiasi gani?
sijui nikupe buku...
kwani kiingilio sh ngapi?
Kuanzia laki tano hivi
hakujua kama wewe ndiyo umechokonoa mada ha ha ha hambona hunitaji mimi kwa kuendeleza huu mjadala?! atoto na miss chagga wasingejijibu wenyewe!