Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Duh basi wanaume wa mitaa ya uswahili wana mawazo sana na wagumu kusamehe maana kuna mitaa hapa ni wamama tu ndio wamiliki wa nyumba huku wanaume wakiwa wameishafariki.
Nakubaliana naye kwa baadhi ya sababu ila kuna sababu zingine nyingi huku uswahilini kwetu.
Mwanamke akishaona watoto wamekuwa wakubwa na mna mali nyingi basi hapo jiandae kifo kipo mlangoni,wanawake wanaongoza kwa ushirikina wanawaua sana wanaume ili wabaki huru na kumiliki mali zilizopo
 
Yule mpalu nimemwambia anipe kwanza visenti vya bando katoka baruu, hahahaaa, wanaume wa humu wabahiri khaaaah!!
ha ha aha bora anayejitoa mwenyewe nduki .. mimi huwa nafukuza nyuma na mapanga kwa sbabu naona umaskini unanijia pm... ha ha ha halafu wana maneno mazuri na laini ukiona hivyo jua njaa hiyo
 
Unadhani sie ndio tutakuua?? Umasikini wako ndio utakuua bwana, so anza kuukata huo umasikini mapemaaaaa.

aisee aende akarutubishe udongo at list mazao yapate kuzaaana vyema

Hapana bwana, walaaa hatuna shida ni uoga wako tu!! We tafuta pesa uone kama utatuona shida tena.

Hatari ni kutokuwa na pesa aisee, tena zaidi ya hatari yenyewe.

Kabisaaaa kuliko kutujazia population, bora awe rutuba angalau awe na umuhimu.

pesa mbele kama tai

hatuwaumizi ila tunawaeleza ukweli Eli79.. watachukua muda kuelewa lakini wataelewa tu


nyie mtatuua mapema sana!
 
Jamani ex darling wanaanzaje kuumia wakati wanatakiwa wazisake?
Kama nawaona wanavyopita na booonge la msonyo, teh teh teh teh

nawawakilisha....mtatuua jamani mtuonee huruma!
 
getting married to atoto or miss chaga = an early
COFFIN.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wengine wanapitia wakati mgumu na hivyo Bwana Mungu anawanusuru na mateso kadhaa kwa kuwachukua ili wasiteseke zaidi.

Angalia familia zinazofiwa na waume zao utakuta wana maisha mazuri tu.

Kwa upande mwingine nakubaliana na wewe,kuna mwinjilist mmoja alishawahi kuhubiri kanisani akiwaonya wanaume juu ya tabia zao hasa za kuendekeza michepuko na kutelekeza familia,akasema Mungu ameyaona machozi ya wanawake na watoto ndo maan kuna vifo vingi vya wanaume
 
ha ha aha bora anayejitoa mwenyewe nduki .. mimi huwa nafukuza nyuma na mapanga kwa sbabu naona umaskini unanijia pm... ha ha ha halafu wanamaneno mazuri na laini kiona hivyo jua njaa hiyo


Maneno kurasa tatu, unatafuta weee palipoulizia namba za ac wala huoni, kiruuuuu, kataa umasikini.
Mdogo wangu cute b uko wapi? Kimbia umasikini mama.
 
Last edited by a moderator:
Lol...ila wanawake hata wakiwa wadogo wao ndio hutangulia kuongea na kutembea...
 
Wanawake hawana dogo wala asante kwa anachofanyiwa na mwanaume. akisha mvuna watoto au mali anakutema jenezani ili yeye aponde maisha peke yake. Afrika wanaume wengi wauawa na wake/hawala zao.
 
Kwa upande mwingine nakubaliana na wewe,kuna mwinjilist mmoja alishawahi kuhubiri kanisani akiwaonya wanaume juu ya tabia zao hasa za kuendekeza michepuko na kutelekeza familia,akasema Mungu ameyaona machozi ya wanawake na watoto ndo maan kuna vifo vingi vya wanaume

Tena kama RRONDO mwisho wake nauona walaaa hauko mbali, hathamini kabisa machozi yetu, anaendekeza umasikini tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom